Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

Wasemeni Wote ila siyo Jonas Mkude Ok?
Huyo jamaa ukabaji sifuri akiwa pekee ake huo ndo ukweli,mechi ya asec ilionesha hilo, mechi ile ya simba na yanga ya goli la morrison, patners wake kwenye eneo hilo ndo wanamfanya aonekane mchezaji,kotei,fraga, lwanga na sasa kanoute
 
Huyo jamaa ukabaji sifuri akiwa pekee ake huo ndo ukweli,mechi ya asec ilionesha hilo, mechi ile ya simba na yanga ya goli la morrison, patners wake kwenye eneo hilo ndo wanamfanya aonekane mchezaji,kotei,fraga, lwanga na sasa kanoute
Hakuna Kiungo Mkabaji bora Tanzania hii kama Jonas Gerald Mkude na ukiwa unajua Mpira na umebahatika hata tu Kuucheza utakubali kuwa kuna Siku Mpira unakukataa ila kwa Unafiki wako hujasema kuwa mwaka Jana Simba SC ilipocheza na Plateau FC ya Nigeria kule Kwao Mkude ndiyo aliupiga mwingi mpaka Kusifiwa Tanzania nzima.
 
Hivi Bwalya ana nini zaidi ya back pass?mchezaji anapoteza mipira Kirahisi sana
Sijui watu huwa wanaona msaada upi kwa Bwalya zaidi ya hizo back pass na kuchelewesha mipira
 
Kikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda

Wa Akiba wawe hawa

1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa

Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Nashauri centr forward muweke mo dewji
 
Hata Simba mruhusiwe mchezeshe wachezaji 22, leo ni kipondo tu: Full time simba 0 - 3 usgn.

Na mkirudi kwenye nbc league mayele anawasubiri, tarehe 6 lazima mchukue mkono
Hahahhaha utakuja kuikana hii coment
 
Mkude ni uchochoro..kwa washambuliaji wakali kama kina Adebayo hatuhitaji kubet hapo katikati. Lwanga inatakiwa akate umeme mazima hapo katikati
Acheze mkude kipindi cha kwanza kipindi cha pili tadeo akate umeme
 
1. Manula 2. Kapombe 3. Shabalala 4. Inonga 5. Onyango 6. Lwanga 7. Banda 8. Nyoni 9. Sakho. 10. Mugalu 11. Kibu

Hii plan ikifeli ataingia Mkude na Mzamiru/Bwalya badala ya Lwaga na Nyoni. Morrison badala Banda, Kagere badala ya Mugalu , Boko badala ya Kibu.
 
Wengi wanamchukulia Nyoni poa sana ila akipata nafasi he is game changer.
 
Kikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda

Wa Akiba wawe hawa

1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa

Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Mungu Ibariki Simba
 
L

IMG_20220403_211114.jpg
 
Back
Top Bottom