Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

Inaonekana Rais huwa anateua watu wasiokubalika. Maana wote wamepigwa chini.

Na mpaka leo huwa najiuliza mno je, hawa Wateule wake ambao wengi huwa ni ' very incompetent ' huwa anachagua Yeye au Idara inamchagulia?
 
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu ' Mchakato ' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!!!
Wazo zuri but unfortunately kuna baadhi ya wanasiasa walitumia/hutumia mbinu chafu kupata Kura nyingi ktk mchakato WA maoni...na Kwa mantiki ya maoni ni kwamba chama/uongozi wa juu WA chama wanawapa nafasi local members watoe maoni Yao kuhusu Nani wangependa awe mgombea wa chama/ hizo ni opinion polls za kama kwenye TV..haina maana anayeongoza polls Kwa walioulizwa ndio ushinda uchaguzi halisi... sometimes local members wanakua hawana taarifa za kina kuhusu mgombea but chama Kwa kupitia Viongozi wa juu Wana mechanism ya kuchambua pumba na mchele na kuna wakati pumba moja au mbili zinaweza zikaslip through.
 
Mkuu mbona umezunguka sana hivi? Si ungesema tu wazi kuwa Wewe ni ' Team Kuanguka Kigamboni ' na umechukizwa na hujakubaliana nalo?
 
Na mpaka muda huu natiririka na naserereka hapa Jamvini JamiiForums wamenitaarifu kuwa Mbuzi walishaliwa Jana na kwa Kuonyesha kuwa hiki Kikosi changu ninachokiaminia cha ' Kamati ya Roho Mbaya ' ndani ya CCM kinamaanisha kimeniambia tena kuwa japo Juzi na Jaza ' Bwege Nazi ' aliyeangukia ' Pua ' huko Baharini Jijini Dar es Salaama anatumia Watu na ' Ushawishi ' wake kwa ' Babaake ' ila hakuna atakachokipata.
Kwa nini mnampaisha huyu mtu wakati umaarufu unosemwa kuhusu yeye mbona hana?
 
Wazo zuri but unfortunately kuna baadhi ya wanasiasa walitumia/hutumia mbinu chafu kupata Kura nyingi ktk mchakato WA maoni...na Kwa mantiki ya maoni ni kwamba chama/uongozi wa juu WA chama wanawapa nafasi local members watoe maoni Yao kuhusu Nani wangependa awe mgombea wa chama/ hizo ni opinion polls za kama kwenye TV..haina maana anayeongoza polls Kwa walioulizwa ndio ushinda uchaguzi halisi... sometimes local members wanakua hawana taarifa za kina kuhusu mgombea but chama Kwa kupitia Viongozi wa juu Wana mechanism ya kuchambua pumba na mchele na kuna wakati pumba moja au mbili zinaweza zikaslip through.

Nilikuwa nikiku chukulia wewe ni shabiki tuu, kumbe nilijidanganya. Una uwezo wa kuwa na well thought out opinions. Keep it up brother.
 
Mkuu mbona umezunguka sana hivi? Si ungesema tu wazi kuwa Wewe ni ' Team Kuanguka Kigamboni ' na umechukizwa na hujakubaliana nalo?
Nadhani umenifikiria tofauti..kigamboni kwangu Mimi imekua kama Decoy ya uchaguzi nchi nzima, watu wengi Kwa SASA hawataki kujua kinachoendelea nchi nzima as long as MAkonda failed..kuna madudu kibao yamefanyika all over..FYI kutokana na situation ya kisiasa ya Dar Kwa the past 5yrs,,Mimi binafsi nimeridhika na matokeo ya Kigamboni ingawa sikuwa pale lakini nahisi kilichotolea ni very natural... nadhani umenielewa.
 
Mkuu vipi kuhusu dogo wa kawe aliyeshinda kwa kishindo ilhali hajulikani ktk ulingo wa siasa na kuna tetesi kuwa ni mpwa wa Jiwe?????
 
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu ' Mchakato ' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!!!
Takrima haikubaki nyuma...wacha Jpm tuangalie ataamkaje....!?[emoji23]
IMG_20200722_112851.jpg
IMG_20200722_112825.jpg
 
Hahaha
Nilikuwa nikiku chukulia wewe ni shabiki tuu, kumbe nilijidanganya. Una uwezo wa kuwa na well thought out opinions. Keep it up brother.
Hahaha.. Thanks Gerard..Mimi napenda Sana Siasa but Kwa style yetu hapa siwezi,...Siasa zetu zimejaa watu ambao usipokubaliana nao basi kuwa tayari kubezwa na kuporomoshewa kila Aina ya kejeli..Bongo inabidi ujue kuongea Kwa kupaza sauti,kukejeli au kutukuza ata Kwa Jambo usilo amini..SAD.
 
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu ' Mchakato ' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!!!
Naunga mkono huu uzi 100%
 
Siku zingine unapokuwa unaongea pia uwe na Kumbukumbu la sivyo nitaanza Kukudharau nawe sawa? Kwa taarifa yako tu ni kwamba wapo wana CCM wengine tena si tu ni Majangili kama huyo sijui Nchambis wako, ila kuna wengine ni wamesababisha hadi Ndugu za Watu leo hawapo tena duniani kwa Ukatili na Roho Mbaya zao tu na wapo ambao huko walikokuwa nyuma ' Kidhamana ' wameiibia sana hii nchi. au leo huwajui?
Wewe huwa unajazba,alafu ukishajaa sumu huwa unahama kwenye reli unatoka kwenye mada.baki sasa na upopoma wako.
 
Hahaha

Hahaha.. Thanks Gerard..Mimi napenda Sana Siasa but Kwa style yetu hapa siwezi,...Siasa zetu zimejaa watu ambao usipokubaliana nao basi kuwa tayari kubezwa na kuporomoshewa kila Aina ya kejeli..Bongo inabidi ujue kuongea Kwa kupaza sauti,kukejeli au kutukuza ata Kwa Jambo usilo amini..SAD.

Nakubaliana na wewe, lakini wenye uwezo wa kuweka strong opinios tukipungua sasa humu JF itazama na kuchukua mrengo wa ISTAGRAM. We need your thinking.
 
Haitoniingia ' Akilini ' hasa yaani wajumbe wenyewe wa maeneo husika ' Wamemtaka ' fulani halafu watu tu wachache wa Dodoma wayabadilishe.
Sasa Kaka,kwa hiyo Seleman Nchambi ameacha ujangili? Na kwa Sasa ana sifa zote za kuwa kiongozi?
 
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu ' Mchakato ' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!!!
Kuna special case mzee kama yule Jangili aliyekutwa na Bunduki 15 hawezi enda pahala aisee hiyo ni moja tu kati ya kesi za wazi hatujajua kwa undani mambo yakoje.

Tuwape muda waamue sidhani Kama wataweza kumnyang'anya ushindi mgombea pasi na sababu za msingi.

Aidha kwa wale "wanakulitafuta wanakulipata" naubga mkono hoja ni urovu wa nidhamu uliopitiliza.
 
Mkuu vipi kuhusu dogo wa kawe aliyeshinda kwa kishindo ilhali hajulikani ktk ulingo wa siasa na kuna tetesi kuwa ni mpwa wa Jiwe?????

Taarifa za ' Kimbea ' na ' Kipumbavu ' kama hii yako huwa sishughuliki nazo tafadhali na pia si za ' Hadhi ' yangu. Halafu unaonekana ni Mswahili!!!!
 
Wewe huwa unajazba,alafu ukishajaa sumu huwa unahama kwenye reli unatoka kwenye mada.baki sasa na upopoma wako.

Endelea tu ' Kujijaza ' katika ' Frame ' kisha nikupe Kitu ' Utulie ' kwani naona ni kama vile ' Unawashwawashwa ' na Mimi tokea Kitambo tu hapa.
 
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu ' Mchakato ' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!!!
Viongozi wa kitaifa wanatakiwa kutunza kauli zao 'public figures have to keep their words'
 
Back
Top Bottom