Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Du!Yani ungekuwa mwanamke
Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, angeshalitolea ufafanuzi kwenye hotuba zake za kila mwezi!Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini!
Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si Watanzania wale ndiyooo kila kitu.
Samia na hasa CCM ishtuke kwa sababu zama za ndiyoooo rasmi kupitia hilo la BANDARI ni wazi zinaelekea ukingoni.