Ningekuwa Seba Maganga ningesitisha Fiesta ya jumamosi

Ningekuwa Seba Maganga ningesitisha Fiesta ya jumamosi

Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imeudhuliwa na watu wachache sana

Jamaa alikuwepo?!
LeMu.png
 
Yaani vile vitoto vya shule ambavyo kufika saa tatu usiku vimeshaanza kuondoka escape one ndio vinategemewa kwa ajiri ya fiesta😂. Hivi mtoa mada unajua after school bash lengo lake, show inaanza saa nne asubuhi. Alafu clouds wanajua kuwa after school bash hakuna nyomi sana ndio maana wanaweka escape one.
 
Huyu dogo na wasafi yake sijui anatumia mzizi au ni kawaida tu?
 
Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see
Ataificha kwenye mask as usuàlly
 
Kuiangusha clouds si rahisi,nyie bila kiki hamuendi,mmefika hapo kwa kiki na siku zikiisha huyo bosi wenu atasema analiwa tigo ili akiki
 
Nyanyua mikono juu, piga makofi 30, kushoto kulia, tuendelee tusiendeleee, sijawasikia, Dj achia, tuimbe sote, siwasikiii. Hizi ndio show za Tz ukiondoka hapo unaenda Hosp kucheck mikono maana lazima utaumwa. Mimi nimelipa nione mtu anaimba mwisho wa siku nasikiliza CD au tunaimba sisi. Kabla hizi show au festival hawajafanya kwanza wasanii wenyewe wabadilike waweze kupanda na Band na kuimba Live au mix mdundo tu wa CD plus vionjo vya life Band. waache vijana waende lakini binafsi siwezi ni kelele tu.
 
Wasafi wanaweza kuwa wasafi bila kushindana na Clouds,Mnaoipenda Wasafi mtaisikiliza na kutanzama TV yao bila kufananisha au kushindanisha na kitu chochote kutoka Clouds na maisha yakaendelea

Kama tunavyowapenda wasafi nao wakamate laini
 
Wasafi wanaweza kuwa wasafi bila kushindana na Clouds,Mnaoipenda Wasafi mtaisikiliza na kutanzama TV yao bila kufananisha au kushindanisha na kitu chochote kutoka Clouds na maisha yakaendelea
Kwa nini unahisi hawafananishi wasafi na media zingine?
 
Back
Top Bottom