Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Usikimbie hii thread yakoNafikiri ingekuwa busara wakatulia wakaona gap hipo wapi warudi upya, maana tunaenda shuudia kitu hatujawai ona toka clouds.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikimbie hii thread yakoNafikiri ingekuwa busara wakatulia wakaona gap hipo wapi warudi upya, maana tunaenda shuudia kitu hatujawai ona toka clouds.
Wasafi hii iliyofutwa na Basata??Iyo tarehe iyo dogo asije akaweka wasafi festirval tanga watu wakakimbilia tanga ahahahaah
kipo nini wewe juma lukole?Hakuna kitu kama hicho,sasa mashoga Sisi au mashoga wewe na clouds yenu
Utakua B12 ww,Mzee mamakipo nini wewe juma lukole?
Tatizo wakienda juu wanakuwa na nyodo mno...ndio maana bora wabaki chini huko mathafwanta...Kinachowapa tabu watanzania hampendi mtu awe juu,mtatafuta njia ya kumshusha tu
Cjui mnapata faida gani
Sijui ni pengo la Ruge maana naona kama wanapoteza ubunifu mfano huu utaratibu wao wa kubadirisha watangazaji wa vipindi umeharibu test ya vipindi badala ya kuchangamsha vipindi vimepoooza.Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.
Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio wahudhuriaji wakubwa wa Fiesta.
Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.
Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.
Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.
Ni ushauri tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wakienda juu wanakuwa na nyodo mno...ndio maana bora wabaki chini huko mathafwanta...
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.
Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio wahudhuriaji wakubwa wa Fiesta.
Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.
Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.
Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.
Ni ushauri tu!
Vipi walitisha?Mleta thread hapa hata tutumie greda kumvuta hakanyagi kwenye huu Uzi!
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.
Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio wahudhuriaji wakubwa wa Fiesta.
Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.
Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.
Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.
Ni ushauri tu!
Sana!Vipi walitisha?