Ningekuwa Seba Maganga ningesitisha Fiesta ya jumamosi

Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see
unasema soud ataificha wapi sura yake wakati siku zote anaificha anavaa mask
 
Watanzania hatupendani cjui kwanini
Kila cku kuna wanaoomba anguko la Clouds litokee
Then what jamaniii??
Kwani hujui hakuna marefu yasio na ncha na pia vita vya panzi furaha kwa kunguru?
 
Kwa nini unahisi hawafananishi wasafi na media zingine?
Kwasababu media nyingine hazina wasikilizaji wengi kama ilivyo Clouds
Isitoshe radio za biashara Tanzania karibu zote zinafuata utaratibu walionao Clouds

Kuanzia Maudhui ya vipindi,Muda wa kipindi husika adi utangazaji

Vijana wengi wanaofanya vipindi mchana wanajikutaga B12

Wasio muiga wachache sana labda Lill Ommy wa TimesFm

Kuanzia vipindi mpaka utangazaji
 
Reactions: Pep
Kwani hujui hakuna marefu yasio na ncha na pia vita vya panzi furaha kwa kunguru?
Wataendelea kuepo hata kama hamuwataki

Ukianzisha biashara tafuta soko lako sio kuua biashara ya mwingine
 
Wataendelea kuepo hata kama hamuwataki

Ukianzisha biashara tafuta soko lako sio kuua biashara ya mwingine
Tatizo sio soko mana soko lipo wazi linataka wauzaj tu na pia wanacho fanya wasaf ni kuangalia wateja wanataka nini na kuwapelekea 7bu mawingu wamejisahau wanajiona wao ndio kama wazalisha huduma peke yao wkt watoa huduma wapo wengi wcb kakuni moja tu adui wa rafiki yako ni rafiki yako huo ndio mtaji unaowabeba wasaf na si vinginevyo
 
Na mvua isiyotabirika inayopiga dar sijui itakuwaje
 
Ukweli ni kwamba cloudz imechangia Sana kuua vipaji na kupora jitihada za wasanii wengi,so Kwa muda mrefu wasanii walikuwa wanatafuta media itakayo heshimu vipaji vyao,sasa sijui ni wasafi,efm au ndio bado haijulikani ila hyo ndio main reason
 
Vitu hivyo unavipata Kwenye mnanda tu
 
Mbosso Kama wewe hutakuja unadhani kila mtu haendi?? Embu tulia [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Reactions: Pep

kuna kupanda na kushuka

ni kipindi cha mpito kwao na ni natural!!! lakini champion huwa hakatai pambano, anarudi, wakihudhuria wachache wataangalia wamekosea wapi, watanyenyuka tena kama mabingwa

maisha sio kuwa na same status na energy ile ile, kuna kushuka kwa kukosea mahali na kurekebisha makosa

hakuna namba watu wote akaichukia clouds bado ina wapenzi royal na hii iko kila mahali, kuna watu wanaweza kujiuza kwa kumpenda ambaye haudhanii

Go clouds go...
 
Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see

Mkuu Wasafi wasikupe shida. Mda wao utafika soon. Bongo huwezi kuendelea kwa kutegemea favour za wanasiasa! Never! Tena wanasiasa wenyewe design ya Bashite! At some point (or time T) reality will catch up with you. Naamini kwa dhati..Wasafi hawezi kustawi kwa kumfanyia bifu Clouds. Wasichokijua WASAFI ni kwamba wanasiasa wanawatumia kwa maslahi yao ya kisiasa. Basi!
 
Champion anazama japo anajitahidi kurusha mikono lakini mawimbi yanaendelea kumzidi nguvu..Hali tete raia wamehasi kambi
 
Ukweli ni kwamba cloudz imechangia Sana kuua vipaji na kupora jitihada za wasanii wengi,so Kwa muda mrefu wasanii walikuwa wanatafuta media itakayo heshimu vipaji vyao,sasa sijui ni wasafi,efm au ndio bado haijulikani ila hyo ndio main reason
kwano hata hiyo wasafi si ya mtu yuleyule mwenye clouds au mmeshikiwa akili kama mashoga
 
Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi Tamasha lipi limesitishwa kwasasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…