Ningekuwa Seba Maganga ningesitisha Fiesta ya jumamosi

Sijui ni pengo la Ruge maana naona kama wanapoteza ubunifu mfano huu utaratibu wao wa kubadirisha watangazaji wa vipindi umeharibu test ya vipindi badala ya kuchangamsha vipindi vimepoooza.
Ila Ruge uwa anabebeshwa zigo la uchafu wakati yeye ni Manager vipindi tu Kusaga CEO, HR ni kutoka kusaga family, mtu wa Finance kutoka Kusaga family sasa inawezekanaji kupiga marufuku nyimbo za WCB uwe uamuzi wa mtu mmoja tena ambaye ni manager vipindi
 

Klaudz fm sasa imebaki historia.
 
Kakimbia mleta uzi au unasafisha matter core baada ya kuliwa jicho
 
Hauwezi kuwa mshauri acha utapeli boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…