Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wazungu hawa zaidi ni kuwapa mashamba/ huwa wapo seriuos sana.Wazungu wana mafisadi pia..
Yes uzuri wa ngozi nyeupe wanaonekana kupenda sana mazingira. Ukiwapa maeneo watawekeza kwenye kutunza eneo. Wakati waswahili watakata miti ili wajenge magenge ya kuuzia visheti wao wanatumia gharama kuitunza.Wazungu hawa zaidi ni kuwapa mashamba/ huwa wapo seriuos sana.
Sheria zinaweza kusimamiwa na zikageuka Sharia,infact tunazo sheria nzuri sana shida ni kwamba,yupi safi wa kuzisimamia? Yupi safi? Utakuja kugundua hapa issue ni uzalendo,upenzi na uaminifu kwa taifa lako,Inshu ni nchi kuwa na katiba imara na sheria imara kila race ina ubinafsi.
Hoja yako ni nzuri sana,hakika suala hili linafikirisha sana, wazungu wakaondoka wakabakia hawa wabinafsi,wachoyo,je nini kilitokea hapa?Hivi wazungu waliondoka wote Tanganyika? wahindi na waarabu wamejaa tele kila mkoa wapo!, Mbona sioni wazungu raia wa Tanzania kama tunavyoona wahindi na waarabu? Wakoloni wajerumani/waingereza waliondoka wote kurudi kwao?
Tuungane kwanza kukiondoa chama chako cha mapinduzi ndiyo tuwakaribishe hao wazungu unaowataka. Bila ya kuiondoa ccm madarakani haya yote uliyo yaandika hayatekelezeki. (Maelezo yangu hayahusi nchi nchi nyingine kama ulivyo iongelea DRC)Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere,
Mtu mweusi na tabia zake za kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wote,mtu mweusi ataiba mpaka atakwenda kununua nyumba ughaibuni na bado hatatosheka,atanunua maghorofa na maghorofa huko ughaibuni hii ndiyo akili ya mtu mweusi.
By nature culture za wenzetu weupe hazipo namna hiyo, akishakuwa na nyumba ndogo nzuri,gari dogo maisha ya uhakika kwa siku kwa siku, bima ya afya,uhakika wa maisha yauhakika ya uzeeni,inatosha,atatumia akiba yake kutalii afrika na duniani basi inatosha,
Akili za vichuguu za waafrika na uroho wa mali ni shida kwa bara hili, ona kabila wa DRC amekuwa rais kwa miaka 10, amechuma kweli,ni tajiri mkubwa lakini bado akili ya uroho inamtuma ya kwamba bado hajafaidi vizuri arudi tena,This is afrika!
Nimeshuhudi nchi nyingi zenye watu mixture wahindi Seychelles,south afrika Boers kidogo zinasogea na kunakuwepo na discipline japo walewale wallaniwa wanataka kuivuruga nchi yao iliyojengwa na Boers kwa miaka mingi,hizo ndizo akili za mtu mweusi,
Mtu mweusi by nature ni mission town hata umwone anasuit ya umaeidadi kiasi gani.
Aidha labda tuanze kuwaingiza wahindi ambao tunao hapa kwenye mamlaka hatua kwa hatua kidogo jamii hii huwa na discipline ya hali ya juu sana hasa katika (fedha+planing)
Sisi waswahili ni wezi kabisa nikiwepo mimi mwenyewe...
#Nitaendelea...
Punguza kuangalia MOVIE.Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere,
Mtu mweusi na tabia zake za kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wote,mtu mweusi ataiba mpaka atakwenda kununua nyumba ughaibuni na bado hatatosheka,atanunua maghorofa na maghorofa huko ughaibuni hii ndiyo akili ya mtu mweusi.
By nature culture za wenzetu weupe hazipo namna hiyo, akishakuwa na nyumba ndogo nzuri,gari dogo maisha ya uhakika kwa siku kwa siku, bima ya afya,uhakika wa maisha yauhakika ya uzeeni,inatosha,atatumia akiba yake kutalii afrika na duniani basi inatosha,
Akili za vichuguu za waafrika na uroho wa mali ni shida kwa bara hili, ona kabila wa DRC amekuwa rais kwa miaka 10, amechuma kweli,ni tajiri mkubwa lakini bado akili ya uroho inamtuma ya kwamba bado hajafaidi vizuri arudi tena,This is afrika!
Nimeshuhudi nchi nyingi zenye watu mixture wahindi Seychelles,south afrika Boers kidogo zinasogea na kunakuwepo na discipline japo walewale wallaniwa wanataka kuivuruga nchi yao iliyojengwa na Boers kwa miaka mingi,hizo ndizo akili za mtu mweusi,
Mtu mweusi by nature ni mission town hata umwone anasuit ya umaeidadi kiasi gani.
Aidha labda tuanze kuwaingiza wahindi ambao tunao hapa kwenye mamlaka hatua kwa hatua kidogo jamii hii huwa na discipline ya hali ya juu sana hasa katika (fedha+planing)
Sisi waswahili ni wezi kabisa nikiwepo mimi mwenyewe...
#Nitaendelea...
CCM = CCCPTuungane kwanza kukiondoa chama chako cha mapinduzi ndiyo tuwakaribishe hao wazungu unaowataka. Bila ya kuiondoa ccm madarakani haya yote uliyo yaandika hayatekelezeki. (Maelezo yangu hayahusi nchi nchi nyingine kama ulivyo iongelea DRC)
Ukiiangalia kwa jicho la karibu utagundua CCP (Chinese Communist Party) malengo na maono yake ni tofauti kabisa na yale ya ccm.CCM = CCCP
Nimemaliza!...
Wachina watakapo weza kuiondoa CCCP basi na ccm itaweza kuondoka.
Sikubishii mkuu,ndiyo nimesema kila mtu kichwani ni akili ya wizi, sasa shida ni who shall fit the post?,mzalendo halisi,labda wewe utaniambia lissu,but kwa upande wangu namwoma lissu ni uendelezo tu wa wizi ule ule,shida ni kwamba,chochote kile ukionacho kina weza kubadilika, TRUST NO BODY!.(TUMESHINDWA KWENYE UZALENDO WA KWELI) YOU CAN PREACH AS A SAINT,BUT YOUR ARE A DEVILS AT A HIGHEST!Ukiiangalia kwa jicho la karibu utagundua CCP (Chinese Communist Party) malengo na maono yake ni tofauti kabisa na yale ya ccm.
Wenzenu wametanguliza maslahi ya nchi yao mbele (uzalendo kwa nchi yao)! Nyinyi ccm maslahi yenu ya kwanza ni chama chenu (kukilinda kwa gharama yoyote ile), matumbo yenu na familia zenu!
Mngetanguliza maslahi ya nchi mbele msingepingwa na tabaka la chini na lile la kati kwenye jamii.
Tungekuwa tunajitambua tungeachana na hii mihemko ya kisiasa, kidini, kikabila, nk. Badala yake tungeongea lugha moja tu ya kujenga misingi na mifumo imara ya Taifa kupitia Katiba na uanzishwaji wa sheria mbalimbali.Sikubishii mkuu,ndiyo nimesema kila mtu kichwani ni akili ya wizi, sasa shida ni who shall fit the post?,mzalendo halisi,labda wewe utaniambia lissu,but kwa upande wangu namwoma lissu ni uendelezo tu wa wizi ule ule,shida ni kwamba,chochote kile ukionacho kina weza kubadilika, TRUST NO BODY!.(TUMESHINDWA KWENYE UZALENDO WA KWELI) YOU CAN PREACH AS A SAINT,BUT YOUR ARE A DEVILS AT A HIGHEST!