Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Mkuu ni ndoto au unasimulia filamu
hilo ndilo gap la masikini na tajiri, ambalo masikini kwake anaona ni anasa na malezi mabaya. Kwahiyo kuanzia leo elewa binadamu tunafanana uumbaji tu lakini siyo mifumo ya maisha.
 
hilo ndilo gap la masikini na tajiri, ambalo masikini kwake anaona ni anasa na malezi mabaya. Kwahiyo kuanzia leo elewa binadamu tunafanana uumbaji tu lakini siyo mifumo ya maisha.
Ahsante kwa ufafanuzi wako......
 
Natamani kushare comment yako kwa kila mzazi wa kitanzania.
 
Natamani kushare comment yako kwa kila mzazi wa kitanzania.
Mimi nimeiprint na kuibandika ukutani..... Ila wenyewe wanasema ni utajiri na sisi ni maskini ndo mana tunawalea watoto wa kiume kiume.
 
Natamani ungekuwa baba wa mwanangu.[emoji4]
 
Natamani ungekuwa baba wa mwanangu.[emoji4]
Hiyo si njia ya kufanya kwa watoto wote ila huyo ambaye tayari yuko polluted.... Wakwetu atakua na malezi ya kawaida ila yenye kumfanya ajione mwanaume akisimama mbele ya watoto wa kiume..

Karibu mkuu
 
Kisa cha kumtaka mtoto wa watu ukaishi nae??? Dunia imebadilika unataka umfanye nini
 
Binafsi nakuelewa sana. Huyu mtoto atakuja kuwa mwanaume wa ajabu sana ukubwani.
 
Mtoto huyo ameandaliwa maisha mazuri wala hana neno
 
Ndio maana hajawa mwanao
Mnavyojifanya kusakama watoto wa wenzenu utafikiri wa kwenu mnawalea vizuri mno
Watoto sio malezi tu pia kuwaombea

Unadhan wale watoto wao ni mashoga waliwalea vibaya???
Damn !! Wanawake ndio mnaharibu malezi ya watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…