Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Mkuu ni ndoto au unasimulia filamu
hilo ndilo gap la masikini na tajiri, ambalo masikini kwake anaona ni anasa na malezi mabaya. Kwahiyo kuanzia leo elewa binadamu tunafanana uumbaji tu lakini siyo mifumo ya maisha.
 
hilo ndilo gap la masikini na tajiri, ambalo masikini kwake anaona ni anasa na malezi mabaya. Kwahiyo kuanzia leo elewa binadamu tunafanana uumbaji tu lakini siyo mifumo ya maisha.
Ahsante kwa ufafanuzi wako......
 
Misingi anayo jengewa mtoto udogoni inaweza kupa picha kamili ya uwezo wa mtoto kukabiliana na ya ukubwani. Wazazi na mtindo wa maisha wa sasa hivi wamejikuta kuna mahala kimalezi wamelega na hata kufikia kulelewa watoto. Hao wanao lea hujui wanapanda mbengu gani kwani mtoto, na hiyo mbegu ikikua ndio unamuona mtoto,.kama ni mbegu nzuri mtoto anakuwa mzuri na kama ni mbegu mbaya mtoto mbaya. Watoto wakabiziwa mikononi mwa Mungu, na kuwalea katika Misingi mizuri ya wazazi wetu walio lelewa nao wakaja kutulea na.hadi leo tumefikia hapa. Shida tunadhalau malezi ya wazazi wetu na kuita ya kishamba
Natamani kushare comment yako kwa kila mzazi wa kitanzania.
 
Natamani kushare comment yako kwa kila mzazi wa kitanzania.
Mimi nimeiprint na kuibandika ukutani..... Ila wenyewe wanasema ni utajiri na sisi ni maskini ndo mana tunawalea watoto wa kiume kiume.
 
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Natamani ungekuwa baba wa mwanangu.[emoji4]
 
Natamani ungekuwa baba wa mwanangu.[emoji4]
Hiyo si njia ya kufanya kwa watoto wote ila huyo ambaye tayari yuko polluted.... Wakwetu atakua na malezi ya kawaida ila yenye kumfanya ajione mwanaume akisimama mbele ya watoto wa kiume..

Karibu mkuu
 
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Kisa cha kumtaka mtoto wa watu ukaishi nae??? Dunia imebadilika unataka umfanye nini
 
Binafsi nakuelewa sana. Huyu mtoto atakuja kuwa mwanaume wa ajabu sana ukubwani.
 
Mtoto huyo ameandaliwa maisha mazuri wala hana neno
 
Ndio maana hajawa mwanao
Mnavyojifanya kusakama watoto wa wenzenu utafikiri wa kwenu mnawalea vizuri mno
Watoto sio malezi tu pia kuwaombea

Unadhan wale watoto wao ni mashoga waliwalea vibaya???
Damn !! Wanawake ndio mnaharibu malezi ya watoto
 
Back
Top Bottom