Jaribu kuwa peleleza madereva wasafirishaji au one day tinga kwenye shell mcheki meneja akupe go ahead kukutana na boss, baada ya hapo kula kitu kitakuwa wazi
Nb: unatakiwa na salio la kutosha litakalo kuwa benki kama mdhamana
Wengi wa hao wafanya biashara ni wahindi. Ila kwa upande wa kusafirisha nadhani kuna bei zao ambazo zipo fixed kulingana na kipimo cha mafuta wanachosafirisha. Haina tofauti na haya ma semi yanayopeleka mzigo nchi jirani. Kwa hiyo waweza kuta kwa mfano kusafirisha lita moja inaweza kuwa shilingi 30 then unazidisha na idadi ya lita zilizopo mule ndo unapata gharama hasa ya kusafirisha. Hapo ni mfano nimetoa simaanishi kwamba ni sh. 30.
Ukija kwa upande wa ku import mafuta nadhani kwa Tanzania kuna yule wakala wa serikali ambaye ndo amepewa monopoly ya kuimport mafuta ambayo yanatumika Tanzania. Kwa hiyo hawa wafanya biashara wa mafuta wao nadhani hawaagizi nje bali wanakuwa wananunua kwenye kuyu wakala wa serikali. Halafu wao ndio wanasambaza kwenye vituo vyao vya retail.
Ki ukweli hata mimi hii biashara inanivutia sana kwani profit margin yake ni kubwa sana na kuna mbinu nyingi sana za kupata faida. Hawa watu wanapata faida sana ila nadhani faida ingeweza kuwa maradufu kama wangeachiwa private individuals pia wawe wana import mafuta na wao. Maana huko duniani kuna mahali unaweza kupata cheap oil kuliko hata hiyo bei wanayonunulia kwa wakala wa serikali.
cc Bavaria
Hii biashara kwa vyovyote vile ina faida sana
lakini bado inafanywa kienyeji
Future ya hii biashara ni kampuni ambayo iko listed DSE
au kampuni ya kupitisha mabomba hadi nchi jirani kama ilivyo Zambia na TAZAMA...
Atakae wahi kuwekeza kwenye future ndie atakae faidika zaidi....
Wewe petrol station kibao,ma depot kibao.
Nenda moja kwa moja muone meneja masoko atakupa details zooote.
Lakini kwa sasa inataka moyo mana kuna taasisi inaitwa EWURA na Wengine NEMC hujawagusa TRA wanavyo ikodolea macho.
Acha kabisa jipange vizur
Tanzania tunatumia Bulk Petroleum System ambayo tender inafanyika kwa kumpata supplier kwaajili ya ku import mafuta yote yaan white petroleum (Diesel, Petrol, Jet A1/IK). Winner wa tender ni yule lowest bidder. Reason ya kutumia hii system ni kuweza ku control quality na price katika soko la Tanzania. Uli uimport mafuta nilazima uwe registered na uwe na leseni ya ewura na pia uwe member wa Petroleum Importation Cordinator (PIC) ambao ndio wamepewa usimamizi wa uingizaji mafuta kwa pamoja nchini. Hope this will help if you need mo info wapo wengine wanaweza kumusaidia
Itabidi tufanye hivo ila tutafute capital kama ya M 100 hivi maana kwa kweli hii biashara mtaji wake bila kitu kama M 100 utakuwa undercapitalised na utashindwa.Siku tuende huko kigamboni tuone tunaanzia wapi.