nelaizer
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 818
- 283
Nilitaka nimwambie hivi hivi, m100 ndogo aseemilion 100 mbona hela ndogo sana hata truck moja na trailer lake haitoshi..
m100 hela ndogo sana na sana na sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nimwambie hivi hivi, m100 ndogo aseemilion 100 mbona hela ndogo sana hata truck moja na trailer lake haitoshi..
m100 hela ndogo sana na sana na sana
Nilitaka nimwambie hivi hivi, m100 ndogo asee
Safi sana....nazidi kufunguka akilini na kuongeza knowledge base on this business! Thanks a lot mkuu.gari moja inapakia kama cubic meter 40 au lita 40,000 ya super. kama ni diesel itapakia cubic meter 37 au lita 37,000.
gari inalipwa dola 100 kwa kila cubic meter kutoka Dar hadi Kigali.
kwa hiyo gari ya supa itakulipa dola 4000 kila trip. unaweza fanya trip 3 kila mwezi ukapata dola 12,000.
gari mpya ya mafuta utanunua dola 120,000 ukisha lipia kila kitu. utaweza kurudisha investment ndani ya miaka miwili kama umefanikiwa kupata soko la uhakika.
gari moja inapakia kama cubic meter 40 au lita 40,000 ya super. kama ni diesel itapakia cubic meter 37 au lita 37,000.

madereva wengi wanalipwa dola 200 kwa mwezi, na posho ya safari ni dola 200 per trip.Asante sana...
Na wale madereva hua wanalipwa kwa mwezi au kwa trip?
madereva wengi wanalipwa dola 200 kwa mwezi, na posho ya safari ni dola 200 per trip.
gari moja inapakia kama cubic meter 40 au lita 40,000 ya super. kama ni diesel itapakia cubic meter 37 au lita 37,000.
gari inalipwa dola 100 kwa kila cubic meter kutoka Dar hadi Kigali.
kwa hiyo gari ya supa itakulipa dola 4000 kila trip. unaweza fanya trip 3 kila mwezi ukapata dola 12,000.
gari mpya ya mafuta utanunua dola 120,000 ukisha lipia kila kitu. utaweza kurudisha investment ndani ya miaka miwili kama umefanikiwa kupata soko la uhakika.
Kuna njia nyingi za kupata deal. unaweza ongea na clearing agent wanao shughurikia mizigo ya mafuto. ongea na watu wa TRA, oil department watakusaidia, au nenda TPA mlango wa tanu, kuna ofisi za customs ya DRC, Rwanda, Burundi, Uganda. Utajua ni nani anasafirisha mafuta kwenda inchi hizo.Okay. Nashukuru.
Kwahiyo nikitaka kupata deal la kusafirisha mafuta kwenda Kigali au Congo natakiwa kwenda kule kutafuta wateja wa kuwapelekea?
AU kuna central system ya wao kuja huku kutafuta transporter?
Kuna njia nyingi za kupata deal. unaweza ongea na clearing agent wanao shughurikia mizigo ya mafuto. ongea na watu wa TRA, oil department watakusaidia, au nenda TPA mlango wa tanu, kuna ofisi za customs ya DRC, Rwanda, Burundi, Uganda. Utajua ni nani anasafirisha mafuta kwenda inchi hizo.
ukitaka kununua mafuta uuze mwenyewe huko Kigali, itabidi uende Kigali ukafungue kampuni ya mafuta (done in 48 hours). Bada ya hapo utasaini mkataba na kampuni moja ya huko kwa jiri ya storage. utarudi Dar na hizo karatasi, utajiunga na kampuni moja ambao itakuagizia kupitia Petroleum Bulk Procurement System (BPS).Kuna njia nyingi za kupata deal. unaweza ongea na clearing agent wanao shughurikia mizigo ya mafuto. ongea na watu wa TRA, oil department watakusaidia, au nenda TPA mlango wa tanu, kuna ofisi za customs ya DRC, Rwanda, Burundi, Uganda. Utajua ni nani anasafirisha mafuta kwenda inchi hizo.
Wengi wanatumia malori ya scania. Ila yale ya China ameanza kuonekana mengi.Mkuu umenisaidia atleast kupata mwanga.
Na ni malori yapi bora kwenye hii biashara?
Hiyo hela ni ndogo hata haitoshi kufungua shell ya kisasa!! Trellar moja LA Serrin ni Milion 50+ hapo unatakiwa kwa kuanza uwe na Billion moja!! Ukipata gari kama kumi na madereva ni pm nikuunganishe upige hela na hela inarudi ndani ya miezi saba!!Itabidi tufanye hivo ila tutafute capital kama ya M 100 hivi maana kwa kweli hii biashara mtaji wake bila kitu kama M 100 utakuwa undercapitalised na utashindwa.
Duh bilioni moja? hapo parefu mkuuHiyo hela ni ndogo hata haitoshi kufungua shell ya kisasa!! Trellar moja LA Serrin ni Milion 50+ hapo unatakiwa kwa kuanza uwe na Billion moja!! Ukipata gari kama kumi na madereva ni pm nikuunganishe upige hela na hela inarudi ndani ya miezi saba!!
Duh bilioni moja? hapo parefu mkuu
milion 100 mbona hela ndogo sana hata truck moja na trailer lake haitoshi..
m100 hela ndogo sana na sana na sana
Ni kweli top liner used zinacheza kwnye bei hiyoo..nlitaka nishangae jamaa anatisha watu million 100 kuanzia unapata scania na trailer hizi za kawaida...Usitake kutisha watu bana... Ukiagiza scania used mpaka kufika bongo inaweza kukutoka 75m... Kwa 25M inayobakia unaweza kupata trailer.. Hata kama pesa imepungua wanaotengeneza matrailer wanaweza kukuachia ulipe taratibu
Ni kweli top liner used zinacheza kwnye bei hiyoo..nlitaka nishangae jamaa anatisha watu million 100 kuanzia unapata scania na trailer hizi za kawaida...
Million 75?? Imekuwa vitz?? Hata hapa bongo used unapata 25 Ila inakuwa haina uwezo wa kutoka njeUsitake kutisha watu bana... Ukiagiza scania used mpaka kufika bongo inaweza kukutoka 75m... Kwa 25M inayobakia unaweza kupata trailer.. Hata kama pesa imepungua wanaotengeneza matrailer wanaweza kukuachia ulipe taratibu