Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya kusafirisha Mafuta na kumiliki vituo vya mafuta

Wadau mmenifungua macho sana. Nategemea kuanza in the near future.

Nimegoogle kuhusu trailers za mafuta nimeona zile za OKT. Ni nzuri.
Tank nakushauri chukua Serine hayo mengine ikienda trip moja linaanza kuvuja unaanza kulichapia viraka!!
 
na mimi pia i dream to do that kind of business but i havent reliable information.
Nando still you haven't information? or still mourning Whitney Houston and his daughter?
 
Mkuu ungeweka maelezo hapa ili kila MTU anufaike
 
Nimejifunza hii n fursa ngoja nihangaike nayo
 
Million 75?? Imekuwa vitz?? Hata hapa bongo used unapata 25 Ila inakuwa haina uwezo wa kutoka nje

Ndugu nnavyokuambia nshafuatilia nkaambiwa bei zake zina range huko... Hiyo used ya kibongo ya 25 ukiifanyia service ya kutosha inaenda nje ya bongo fresh tu
 
Ndugu nnavyokuambia nshafuatilia nkaambiwa bei zake zina range huko... Hiyo used ya kibongo ya 25 ukiifanyia service ya kutosha inaenda nje ya bongo fresh tu
Nenda kanitafutie kwa hiyo bei ambayo lipo kwenye hali mzuri uje uni pm!! Kama unataka ufe kwa pressure tumia shortcut utakuwa unapigwa tu hasara na service sizizo kuwa za lazma!! Wakati gari inatakiwa kutumia siku nne au tano hadi kufika Zambia yako itakuwa inatumia mwezi kufika!
 

Labda kiongozi tuambiane wewe unafikiri gari zuri la kuanzia ni aina gani!? na bei yake pia!?
 
Ndugu nnavyokuambia nshafuatilia nkaambiwa bei zake zina range huko... Hiyo used ya kibongo ya 25 ukiifanyia service ya kutosha inaenda nje ya bongo fresh tu

Unachosema ni kweli mkuu. Mimi nadeal na hizo trucks. Inategemea na terms tunazokubaliana, mfano endapo umechangia kwenye gharama za kuagiza kidogo ninao uwezo wa kukuuzia tractor nzuri kabisa Scania 124 HP 420 6x2 tena ya mwaka 2006 kwa 75m. Ila usipochangia nitakuuzia kwa 80m. Kumbuka gari hiyo hiyo unaweza kununua kwa mwingine 100m kwani market iko free so inategemea na taarifa ulizonazo na mambo kama hayo kama tu ilivyo kwenye huduma au bidhaa zingine tunazonunua toka sokoni.
 
Msichoshane jamani,mwenye kuhitaji, awnde pale Saab Scania pugu road, zipo,last week nilizikuta mbili top condition wame reposses kwa mtu, walikuwa wana ask usd35, for truck and trailer.
 
Tank nakushauri chukua Serine hayo mengine ikienda trip moja linaanza kuvuja unaanza kulichapia viraka!!

Ni kweli mkuu Jambazi Serine ni tankers nzuri ukilinganisha na hizi locally made. Japo pia wazoefu waliotumia wamegundua kwamba Serine pia zina changamoto zake. Mfano, uzito, ile height nayo imezidi kdg, na likitoboka repair yake iko complicated kidogo na nyinginezo kadhaa. Baadhi wamegundua kwamba tankers za Super doll na Bachu wa Kenya ni nzuri zaidi kwani zimefanyiwa improvements nyingi tu. Changamoto kubwa hapo ni bei ila inalipa kwani zinadumu muda mrefu zaidi.
 
Labda kiongozi tuambiane wewe unafikiri gari zuri la kuanzia ni aina gani!? na bei yake pia!?
Nenda kaongee na Azam watakuuzia gari nzuri Ila atakuambia usiondoe nembo zake na atakuuzia bei nzuri kama atakubali kukuuzia!! Volvo au Daf hata scania siyo mbaya ala Azam Ana Volvo tu
 
LA kuchongesha LA bati ukiwa na trella lako haizidi hata Million 20 Ila utapiga nalo trip 3 linaanza kuvunja! Ila special linacheza Million 50 hadi 60
Hapo nilimaanisha gharama ya mafuta yaliyomo ndani ya tank kwenye trailer na sio bei ya trailer.
 
Mkuuu pia unaweza kuagiza mafuta bila ya Kuwa depo na ukahifadhi tipper ambazo storage fee take nzuri au deport yyte ya mtu
 

Nilitaka kuuliza hapo.

Nimeona trela za Bhachu na Superdoll zinabeba mafuta mengi kuliko Serin au OKT. Hapo una mawazo gani?
 
HOWO yanauzwa kule Pugu kama sikosei USD55,000 na trailer lake linakuwa brand new kabisa

Kati ya HOWO, DAF, Scania, Volvo, Marcedes-Banz, Tata ipi ni nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…