Nini amekosa AY?

Nini amekosa AY?

sorry kama hatujaelewana rafiki

smile, lets roll on our JF

okey! kwa vile umecome down sasa naweza kukuelewesha, niliyemjibu awali alisema AY hanaga skendal za kutembea na dada zetu, (kitu ambacho sio kweli coz lazima anadate and his date must be someone's sister) ndio nikamuuliza if he is not date our sisters whom does he dating, may be he is dating his own sister or what??? KAMA WEWE HUTEMBEI NA DADA WA WENGINE,THIS MEANS??? UNATEMBEA NA DADA ZAKO MWENYEWE??? SIJUI UMENIPATA
 
haswaaaaa anachokosa AY ni kujichanganya na watu yaani hahangaiki kutafuta mashabiki...mfano mara nyingi hata akiwa nominated kwenye tuzo wala hata haangaiki kuomba kura...............in short kazubaa sana

Watakuambia hapendi show off
 
Kwani hapa mnaongelea mafanikio gani? Labda tuanzie hapo!
 
mi nimesikia about kua mmiliki wa kisiwa cha mbudya ila kuhusu mambo ya mitandao na kua karibu na mashabiki yupo top eight ya watu wanaowasiliana na mashabiki zao upande wa instagram
 
Jamaa kazubaa,madogo wanamkimbiza.Hizo zipo hata kifamilia unakuta kaka anahustle miaka nenda dogo inaichangamkia fursa moja na kuibuka kidedea.
 
Kwani hapa mnaongelea mafanikio gani? Labda tuanzie hapo!

1. Nyimbo zake hazihit kivile

2. Hapati show nyingi kihivo

3. Sijasikia akipiga show kubwa ndani or nje ya nchi yeye kama yeye, yaani sio kama Fiesta show inayohusisha wasanii wengi. But nimekuwa nikipita U-Tube naona show anazofanya Diamond kwa jina lake na kujaza kumbi kubwa/uwanja.

4. Ngoma zake ni marachache kuzisikia kitaani zikichezwa eg. kwenye bodaboda, bajaj,daladala, etc or sehemu zinazohusisha mikusanyiko ya watu wengi kama vile harusi/clubs. Yaani nyimbo nyingi alizotoa miaka ya hivi karibuni hazijafanikiwa kukick kwa mtaa kiasi cha kuwa gumzo japo anainvest kuliko zamani. Mfano hazijafikia level ya kubamba kama 'HABARI NDO HIYO' aliyoshirikiana na FA.

5. Ana tuzo kadhaa but sio nyingi kihivo kama ambavyo anadeserve kuwa nazo kutokana na jitihada zake.

6. Hayuko powerful sana U-TUBE, hiki ni kitu ambacho zamani hakikuwepo/wasanii walikuwa hawakitilii maanani sana, but nowdays wasanii wako serious nayo sana kwa ajili ya promo, na pia inasaidia sana msanii kujijua unakubalika kiasi gani/ Or una fanbase kiasi gani/ Unafatiliwa kiasi gani. Nimejaribu kufanya research nimegundua kwa Africa Mashariki Diamond ndo anaongoza kwa kufuatiliwa, karibu kila video aliyorelease YOU TUBE imejizolea viewers wengi.


**INSHORT: Kwa watu tuliosoma Physics tungeweza kusema
JITIHADA ZA AY is Inversely Proportional to his SUCCESS/ACHIEVEMENTS
 
Me mwenyewe nilikuwa shabiki wa AY lkn miaka ya hv karibuni kimziki ameisha. Amekuwa akikimbilia kutoa video kali bila kufikiri je audio yenyewe inakubalika? Cku hz anajiimbia imbia tu na kusifia video zake, co wote wanapata mda wa kuangalia video, Dai nyimbo zake utazickia had bodaboda wanapiga. Ss yy anakimbilia ubora wa video wkt audio ni tatizo. Hata hvyo amedrop kitambo sema Binam anambeba sana ila saiz kawa mfanya biashara na ana akiri za kupiga dili.
 
okey! kwa vile umecome down sasa naweza kukuelewesha, niliyemjibu awali alisema AY hanaga skendal za kutembea na dada zetu, (kitu ambacho sio kweli coz lazima anadate and his date must be someone's sister) ndio nikamuuliza if he is not date our sisters whom does he dating, may be he is dating his own sister or what??? KAMA WEWE HUTEMBEI NA DADA WA WENGINE,THIS MEANS??? UNATEMBEA NA DADA ZAKO MWENYEWE??? SIJUI UMENIPATA

Yes rafiki, I got it wrongly

sorry again
 
Jibu ni fupi tu...Ambwene huu sio wakati wake, anachofanya ni kumaintain jina lake lisipotee kabisa maskioni kama kaka yake Gk hii ni kibiashara zaidi coz jamaa anaijua hela kuliko Chenge.
 
Nani kakwambia AY ka stack? umetumia vigezo vipi labda ku conclude kua Diamond ana mafanikio makubwa kuliko AY?
Au coz hajatembea na msululu wa wasanii wa bongo muvi ndo unasema hana mafanikio ?

Tatizo diamond anapenda kila kitu chake kijulikane hadi maisha yake ya private ana publicize angefanya mambo kimya kimya asingesikika ivyo, ay, ommy dimpoz na wengineo wana girlfriend zao bt wanajiheshimu c km yeye ndo mana anaambiwa anasafiria nyota ya mwanamke
 
Nae aache tu mziki kama Niki

Binamu huyu amekulia Upanga hawa ni watu wa connection na muziki ndio starehe yao, video yake na Sean Kingston daily inapigwa na channel O mwaka huu lazima atakuwa nominated kugombea tuzo ya video bora.
 
Kwani AY haoni mwenzake FID alivyorud baada ya kushirikishwa na Young killer,!

Aache u conservative.
 
Back
Top Bottom