Andika details zako kwa kina tuangalie namna ya kukusaidia.Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo.
Nimekata sana tamaa ya Maisha.
Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na pia kutegemea biashara hiyo hiyo kwenye mahitaji ya familia.
Kwa Sasa Nina muda mrefu bila shughuli yoyote rasmi tofauti na kufua fua nguo Kwa watu .nikipata elf tano inaisha Kwa matumizi ya familia .na sio mara zote napata kibarua..
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama unaamka asubuhi huna kazi yoyote na ndani hakuna chumvi Wala unga. Usiombe jamani
Kama Kuna mwenye kibarua ambacho naweza pata kipato Kwa wiki au Kwa mwezi naomba anisaidie niweze kujikimu na familia.
Asanteni sana
Unapatikana wapi Mama 1? Umeifikisha shida yako mahali sahihi. Na imetugusa sana ☺️Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo.
Nimekata sana tamaa ya Maisha.
Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na pia kutegemea biashara hiyo hiyo kwenye mahitaji ya familia.
Kwa Sasa Nina muda mrefu bila shughuli yoyote rasmi tofauti na kufua fua nguo Kwa watu .nikipata elf tano inaisha Kwa matumizi ya familia .na sio mara zote napata kibarua..
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama unaamka asubuhi huna kazi yoyote na ndani hakuna chumvi Wala unga. Usiombe jamani
Kama Kuna mwenye kibarua ambacho naweza pata kipato Kwa wiki au Kwa mwezi naomba anisaidie niweze kujikimu na familia.
Asanteni sana
Marital status yako ikoje
Sina ujuzi wowote, nahitaji kibarua chochoteHujasema upo wapi na ni vipi mtu akikuhitaji anaweza kukupata, Je mbali na shughuli ya Udobi una taaluma au Ujuzi tofauti?
Mkuu sema suu nimuite mwenye Avatar yake.
Pole mwaya. Ngoja waje waliopo maeneo ya karibu huko.Mwenye kibarua chochote Naomba jamani, hali sio nzuri
Nashukuru Sana space 2026pole dear. maadam kuna uhai kuna tumaini.
Bado naendelea kuwasubiri shadeeyaPole mwaya. Ngoja waje waliopo maeneo ya karibu huko.