Hawa mimi nilishaachaga kuwachukulia serious. Usiumize kivhwa chako mkuu. Angekua serious angeweka namba angetoa details za msingi kama hizi unazoulizaHujasema upo wapi na ni vipi mtu akikuhitaji anaweza kukupata, Je mbali na shughuli ya Udobi una taaluma au Ujuzi tofauti?
Umeanza lini ukorofi Smart hahah!!