kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Habari zenu wapendwa
Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress
Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja
Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo
Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu
Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo kama njia fulani ya kutaka kuniendesha au kunitawala