Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
kuwa mwanaume wa kweli, kuwa mwanaume mwenye sauti ya mwisho ndani ya ndoa yako hii itakusaidia sana na changamoto kama hizo, inaonekana hauna sauti ya mwisho kwenye ndoa yako wakati wewe ni mwanaume.
tamaa za wanawake wengi wasio jielewa zipo kwa wanaume zao wanataka kuwatawala kwa njia yoyote hile yani kama vile hawajiamini hivi japo sio wanawake wote wapo hivi,
Niliona post kama hizi za wanaume wengine wakilalamika jambo kama lako nikaona wanaume wengi bado hawaja komaa kiakili alafu wame owa bado hawawajui wanawake ni watu wa aina gani hii inaweza kukuletea challenge nyingi ukiingia kwenye ndoa.
nashauri jitambue wewe ndio unapaswa kuamua kitu kama mtu wa mwisho kwenye ndoa kumbuka nyinyi ni mwili mmoja kwa sasa kuwa na sauti na mke wako mwambie hivi sio vizuri, mwambie hivi sitaki, mwambie hivi sipendi ikirudia hivi utanichukiza, kuwa na sauti ya mwisho alafu mwenye misimamo utaepuka vitu vingi sana.
Simaanishi uwe mwanaume wa kulalamika kwa mkeo ninaposema kuwa na sauti kuwa mtu wa kufanya maamuzi ya mwisho, sauti ya kulalamika haisadii ila sauti ya maamuzi ya.mwisho itakusaidia kaa chini mwenyewe panga hivi panga vile kisha toa maamuzi yako wewe ndio baba na ndio mwanaume.