Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

Acheni kuwasingizia wanawake, Ushoga unafanywa na wanaume only.

Mwanamke anayekaa na shoga mchana kutwa km marafiki, na mwanaume anayemlala shoga km mkewe usiku kucha, nani wa kulaumiwa??

Hakuna supply without Demands, em acheni kuzunguka zunguka bhana. Lol
 
Unakuwaga mkali sana Mashoga wakiguswa.

Nikuulize swali cocastic , hivi Do you wish society to legalize homosexuality?.
Why not?

Na hadi hapa isha legalize, maana ingekua tofauti, si tungeona matokeo.
Mnaishia kubwata na kubwatuka mitandaoni, huko mtaani mashoga wako lele lelee na wanatamba watakavyooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1 na 4
 
Ushoga ni ushetani unaosambaa duniani, ni ngumu kuzuia
Kwa hapa nitaitetea serikali Kwa mara ya kwanza.
Kikubwa kwetu wazazi kuzingatia maadili ya watoto na kuomba Mungu
Kwani hujui kuwa puru ni nyara ya serikali?

Kama puru zinatumika hovyo; si ndio serikali imeshindwa kulinda nyara zake?
 
Hizo ulizotaja sio aina, ila ni roles, au matawi,

Aina ni hizi.

1, Wenye hisia juu ya hii industry, hapa wengi ni wale wenye hormones imbalance, au malezi na makuzi tofauti na jinsia yake, tangu wakiwa wadogo.

2. Vishawishi na Mkumbo, hawa ni wale wanaoingia kwa kufuata mkumbo, au kuiga kutoka kwa walio karibu yao.

3. Tamaa, hawa ndio wako wengi kwa sasa na ndo maana idadi inaongezeka kila uchwao, wanaingia ktk hii industry kwa minajili ya kupata pesa, mahitaji au huduma za kukidhi maisha yao.

NB: Aina hizo, Kila Role inaingia hapo.
 

Hawaja legalize.
Ingekuwa inatambulika ndoa za jinsia moja zingefungishwa wilayani.
So far mwanaume anatakiwa aoe mwanamke.
Na ukipatikana na hatia ya kumuingilia mwenzako kinyume na maumbile ni miaka 30 jela. Kikatiba TZ.

Ila Hebu twende taratibu.
Mashoga ni watu na wana haki ya kuishi ndio maana wako mtaani.
Ishu ni lile tendo kufanywa hadharani .

Sasa do you wish watu watambue kuwa hawa ni wanaume na wameoana? Au hawa ni wanawake kwa wanawake na wameoana?. Ndio swali langu.
Na kwanini unawish hivyo?.

😎😎😎😎 usipanic. Jibu taratibu sasa.
 
Why not?

Na hadi hapa isha legalize, maana ingekua tofauti, si tungeona matokeo.
Mnaishia kubwata na kubwatuka mitandaoni, huko mtaani mashoga wako lele lelee na wanatamba watakavyooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwanini hua unapenda haya mambo una interest gani?
 
Kama unamtoto wa kiume usije peleka mtoto boarding sschools
Kuna baadh ya watoto wanatoka makwao tayar wameshaharibika na hiyo Hali hatujui imekuaje akawa Ivo kwaiyo akija hizi shule anaendeleza Ile mchezo kumbuken shule haswa za sekondary wengi ni tayar wamebalehe vishawishi vya mwili ni vikali mno
 

Hizi ulizotaja ni vichocheo. Aina ni zile 3.

Mm bado nataka kujua. Ww unatetea nini hasa na upande gan uko. Sikuelewag kabisa. Na pia unataka jamii ielewe nn kuhusu homosexual.
.
Ndio hoja yangu.
 

Sipingan na ww .

Ila boarding sio kichocheo cha mtu kuwa shoga. Binafsi nishawai soma na shoga.
Nimesoma mkoani bording boys ( form 1 -4) (hakukuwa na shoga) na boys day (form 5 na 6.)

Ila day ya form 5 na 6 tulikuwa na Shoga darasani. Alikuwa anakaa Magomen kagera. Kwahiyo ushoga alianzia nao malez ya nyumban na sio Shulen.
 
Na
Namba 1 na 4 na kukosa utu na imani
 
Sawa lakini sio mwanamke anayemshawishi mwanaume kumla shoga..
 
afadhali maana nilitaka nimwambie nikaona nimwache kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…