Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

afadhali maana nilitaka nimwambie nikaona nimwache kwanza

Yaan hata kwa ID fake. Ila Kukiri kuwa umetolewa marinda inahitaji ujasiri sana 😁😁😁😁.

Tumuelewe tu kwa ujasiri na ushuhuda huo wa kusema anakulaga wanaume wenzake.

Lamomy kuna jamaa huku tunaweza mtuma kwa Hazsu. Achana na kina Mbaga Jr na secretarybird . Hawa mpaka walewe ndio wafukue mitaro.

Wakat kuna watu wako sober na kaz inaenda.
 
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

Watoto wanapaswa kulindwa ,ukisikiliza story nyingi za waliokuwa mashoga wengi unaona kabisa kuna makosa wazazi walifanya katika malezi.

-> Kuna walioharibiwa wakiwa boarding
->Kuna walioharibiwa na ndugu wajomba /baba wadogo ,binamu
->Kuna walioharibiwa kwa kuachwa kwa mabibi halafu naye bibi don't care
->Tabia Mbovu za wazazi huchangia kutengeneza mashoga

->Mpeleke mtoto boarding kwenye shule zenye uangalizi na maadili ,shule ikiwa na mtoto mwenye tabia mbaya alizoziona kwa wazazi wake wakifanya matusi ,huyo akienda boarding lazima awapelekee moto watoto wenzake.

-> Kamwe usimwache mtoto kwa ndugu kwenye wanaume waliobalehe kisha wakalala naye kitanda kimoja lazima watamdukua MFUMO.

->Mabibi mara nyingi huwa umri ushaenda ,huwa awaamizi kichwa kuanza kulea tena wajukuu ,huwa wanaacha wafanye watakavyo ,ukirudi nyumbani hewala usiporudi ukarudi kesho yake hewala ,hawana muda.

->Wazazi tuwe makini sana ,watoto kuona TUKIBANJUKA ni mbaya sana ,tunawajengea tabia mbaya ya wao kuanza kuiga na kubanjuana ,sasa utakuta mtoto anaanza kumbanjua mtoto mwenzake wa kiume mpaka anazoea na kuendeleza libeneke hadi ukubwani.
 
Yaan hata kwa ID fake. Ila Kukiri kuwa umetolewa marinda inahitaji ujasiri sana 😁😁😁😁.

Tumuelewe tu . Na tushukuru kwa ushuhuda wa hata huo kusema anakulaga wanaume wenzake.

Lamomy kuna jamaa huku tunaweza mtuma kwa Hazsu. Achana na kina Mbaga Jr na secretarybird . Hawa mpaka walewe ndio wafukue mitaro.

Wakat kuna watu wako sober na kaz inaenda.
sio Rahisi kabisa labda wakiwa wao kwao ndio utakuta wanajisifu sana. Kuna mchizi wangu sana analiwa na ni mtu anaheshimika sana ila tukiwa kwenye jumuiya asubuhi akihubiri anakazia kweli kuhusu hayo mambo ila analiwa na mm najua wanaomla ila akirudi ananiambia hajaliwa.

Hadi wakati mwingine nakuwa naye kwenye Kumbi za starehe najua kabisa wanaomla ila mara zote ananiambia hawamli anawachukulia tu hela.

Sijajua kwanini ipo hivyo
 
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?

Chanzo kikubwa ni uongozi ulioko madarakani kuruhusu ushoga wazi wazi na wengine wao kuwa ni mashoga. So roho ya ibilisi inasambaa sana.
 
Hawaja legalize.
Ingekuwa inatambulika ndoa za jinsia moja zingefungishwa wilayani.
So far mwanaume anatakiwa aoe mwanamke.
Na ukipatikana na hatia ya kumuingilia mwenzako kinyume na maumbile ni miaka 30 jela. Kikatiba TZ.

Ila Hebu twende taratibu.
Mashoga ni watu na wana haki ya kuishi ndio maana wako mtaani.
Ishu ni lile tendo kufanywa hadharani .

Sasa do you wish watu watambue kuwa hawa ni wanaume na wameoana? Au hawa ni wanawake kwa wanawake na wameoana?. Ndio swali langu.
Na kwanini unawish hivyo?.

😎😎😎😎 usipanic. Jibu taratibu sasa.
Kuto legalize umechukulia mfumo wa ndoa halali?? So far yess haitambuliki, ila wako wanaoishi ktk ndoa hizo japo bubu na gizani na kuna baadhi ya watu wanafahamu hilo.
Ni km vile kwenye hali ya sasa, kati ya ndoa ya mwanamke na mwanaume, si ni kuna ambao hawajaolewa/oa, au wako wanaoishi bila kufuata mfumo wa ndoa halali.

Hatia ya kupatikana ukimuingilia mwenzako kinyume na maumbile, kwa kufuata hiyo katiba ya Jamhuri, kinacho refer pale ni ulawiti na sio ushoga, najua utasema how, nikurudishe kwenye sakata la saka saka ya mashoga ya makonda akiwa Dar RC, Kangi lugola akiwa waziri wa mambo ya ndani, alitoa msimamo wa serikali, na Balozi Mahiga RIP, akiwa waziri wa mambo ya nje alitoa msinamo wa serikali, hizo karudie kuzisoma.

Unasema kuhusu hilo tendo wanalofanya mashoga kuwa hadharani?? Una maanisha nini? Tendo? Yaani (Sex) ? Km ndio hivyo, nikuulize kwani sex kati ya mwanamke na mwanaume inafanywa hadharani?? Hata kwa hali ya sasa? Unless unifafanulie hadharani una maanisha nini, ili twende sawa.

Para ya mwisho, nilijibu kule juu na nilimaanisha,
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.

Sijawahi na siwezi kupanic kupitia mada za namna hii. Ziko ndani ya uwezo wangu afu nazimudu.
 
Hii ni spirit ya kishetani, inatumia moja ya hayo kumwingiza mtu, kama sio malezi ni tamaa, kama sio tamaa ni malezi,...
 
Unapendaje kuona watu wa jinsia moja wakioana?

Hizi ulizotaja ni vichocheo. Aina ni zile 3.

Mm bado nataka kujua. Ww unatetea nini hasa na upande gan uko. Sikuelewag kabisa. Na pia unataka jamii ielewe nn kuhusu homosexual.
.
Ndio hoja yangu.
Zile 3 ulizotaja juu sio aina, ni Roles au matawi.

Aina ndio zinatokana na vichocheo na kila muhusika atachagua aingie ktk roles au tawi gani kulingana na yeye utayari wake.

Hii sasa unaleta ad hominem attacks,
Kuhusu kutetea au kutotetea ni masuala yangu binafsi, kuhusu Jamii ielewe nini kuhusu homesexual ni hivi faragha ya mtu iheshimiwe.

..........
 
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.

Nimekupata vizur sasa.
Nilitaka watu wajue kuwa hii ndio stand yako.
 
Pengine ni mtetez. Ila
Anatetea kwa hoja gani?
Ndio Aweke wazi.

Ila sio kila mtu akileta mada ya ushoga cocastic anakasirika na kumuona ni adui.
Sijawahi kumuona mtu adui kisa kapinga ushoga, achilia kuleta mada kuhusu hilo, sio hapa mitandaoni hata huku uraiani/mtaani,

Tena kwa hali ya sasa ndo kabisaa, huwa naishia kucheka tyuu. Lol
 
Unapendaje kuona watu wa jinsia moja wakioana?

Amejibu kwa hoja yake hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.
 
Sababu ni kushuka maadili na utandawazi, zamani kuitwa shoga au kumwona shoga aakijitangaza lilikuwa jambo lisilowezekana.
Kutokana na utandawazi ndio maana kuna redio na tv zinapromoti waziwazi ushoga lakini vyombo husika vimekaa kimya. wasanii wa muziki na filamu wametumika sana kupromoti ushoga na wakati sheria zetu zinatoa adhabu kwa watu wanaojihusisha na ushoga vimekaa kimya kwa na watu au vyombo vinavyopromoti ushoga.
sababu zipo nyingi ikiwemo tamaa inayopelekea NGO kupewa pesa na kuhamasisha mambo hayo, imani za kishirikina, ukosefu wa ajira( hili linahitaji maelezo)
 
cocastic hili halihusiani na Mada hapo juu.
Kwahiyo ww ni Me au Fe?.

Leo useme ukwel..😁😁😁😁
 
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Kuanzisha thread za 'mashoga' pia ni njia mojawapo ya kuupa promo na kusambaza ushoga.
 
cocastic hili halihusiani na Mada hapo juu.
Kwahiyo ww ni Me au Fe?.

Leo useme ukwel..😁😁😁😁
Mbona unaniandama sana?? Kulikoniii?
Km majadiliano ya mada yameisha, si utulie, jinsi angu inahusu nini??

Tena una order niseme ukweli, wee km nanii?? Na una mamlaka gani au yapi kwangu ya kuniamrisha hivyo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkishaishiwa hoja, mnakuja na And hominem attacks,
Ishi humo bwasheeeee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom