Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Sababu kuu nii wazazi na jamii kiujumla kutotimiza majukumu yao upande wa malezi,vilevile single parenting nayo inachangia kwa kiasi kikubwa mentally inamletea changamoto mtoto, hasa mzazi hasipojua mtoto wake kutokana na jinsia yake alelewe vipi.

Social networks na vitu vya kuiga, kuwaruhusu watoto humu kwenye mitandao wakati akili bado haijapevuka, maana huku social networks kuna kila aina ya uchafu ni vizuri mtoto akifikisha umri wa miaka kumi na nane ndipo aanze kuingia humu kwenye mitandao. Maana wengi hujikuta wanaiga hiyo mitindo.

Tatu tamaa mwanamke akiwa na tamaa anacho cha kutoa, ila vijana wa kiume siku hizi wanatamaa hawataki kufanya na wanataka maisha ya gharama, kuna washenzi watakupa ila lazima na wao utawapa kile wakitakacho.

Kutokuwa na hofu ya Mungu, watoto wengi wanalelewa bila kumjua Mungu, matokeo yake ile hofu anakuwa hana, plus akiingia huku kwenye mitandao ya kijamii ndipo hujifunza na kuona yale ndio maisha.

Jamii mtoto kulelewa na watu baki au ndugu, hii ni hatari sana wazazi hawana mda wa kuwafuatilia watoto wao na kampani wanayo kaa nayo.Ukimsikiliza Dr Kweka anakwambia walichukua sample ya mashoka mia na arobaini zaidi ya asilimia themanini ya mashoga walio wafanyia utafiti Dom wameharibiwa na watu wa ndani ya familia zao so husimuamini mtu yoyote kwenye malezi ya mwanao hataka kama ndugu yako.

Kwa research yangu ndogo tu maeneo ambayo yalikuwa yanasifika kwa tabia ya wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake, ndio maeneo yanayo sifika na kuwa na idadi kubwa ya mashoga, chunguza utaona hiki kitu na yakifuatiwa na maeneo yenye utalii, huku kinacho waponza vijana ni tamaa ambayo hujikuta wanaliwa na wazungu.
 
Mbona unaniandama sana?? Kulikoniii?
Km majadiliano ya mada yameisha, si utulie, jinsi angu inahusu nini??

Tena una order niseme ukweli, wee km nanii?? Na una mamlaka gani au yapi kwangu ya kuniamrisha hivyo? 😂😂😂😂

Mkishaishiwa hoja, mnakuja na And hominem attacks,
Ishi humo bwasheeeee, 😂😂😂😂😂😂

Umeona sasa . Ushapanic 😂😂😂😂.
Sijakuamrisha na wala sijakubembeleza.

Ila Nimekuelewa. Naheshim stand yako.
 
Nani kakuambia au umejuaje ushoga umesamba Tanzania?

Umesambaa kulinganisha na kipindi kipi ambacho ulikuwa haujasambaa?

Unathibtisha vipi kwamba umesambaa na sio umepata attention kubwa tu zaidi kwenye social media?

Nini chanzo cha kusamba kwa ushoga kwa nchi nyingine?
 
Kuna kitu kinaitwa Ulevi wale wanaolewa Mpaka wanazima, wanafirwa sana hao vijana
 
Malezi ndio sababu kuu hasa hawa watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hasa wa kike unakuta mtoto wa miaka 12 aishi na mama yake chumba kimoja na hapo hapo mama yake akiwa hayupo nyumbani mtoto anasaidia kuondoa chupi za mama yake ktk kamba ili zisiloe na mvua kwa vyovyote aslimia za huyu mtoto kuharibuka ni kubwa
 
Yaan hata kwa ID fake. Ila Kukiri kuwa umetolewa marinda inahitaji ujasiri sana 😁😁😁😁.

Tumuelewe tu kwa ujasiri na ushuhuda huo wa kusema anakulaga wanaume wenzake.

Lamomy kuna jamaa huku tunaweza mtuma kwa Hazsu. Achana na kina Mbaga Jr na secretarybird . Hawa mpaka walewe ndio wafukue mitaro.

Wakat kuna watu wako sober na kaz inaenda.
Hahahaha 🤣🤣
 
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Chanzo ni kama hivi kuanzisha mada zinazohusu wao. Mnawapa airtime na watu wanaujua zaidi
 
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Tamaa tu, yani wanawake wote mwanaume anakubalije pumuliwa

2. Wengine ni tokana na mazingira Magumu utotoni wanajikuta wametumbukia huko bila ridhaa zao toka kwa wapumbavu wachache
3 .ushirikina
 
Hapana mkuu ila tulikokua tunaelekea ndio huko maana kila unaekutana nae anatka mfanye zam zam na anakuwekea hela sasa ukiangalia umetoka gongo la mboto mpaka mbez saa sita uko chumban wawil unamla mtu gafla anataka akugeuze uko kwake mko uchi si salana kwako ipo siku ingetokea tu kama ningeendelea kuzubaaa maana mashoga haqa unawaona asilimia k7bwa walianza km mabaasha yaan hawaliwi wanawala wenzao baadae wakataka kuonja wakanogewa
Shoga/ Ushoga(Gays) unajumuisha Wafiraji(Mabasha) na wanafirwa ...full stop....

Wewe ni Shoga Hakuna lugha nyingie
 
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:

1. Umaskini

2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?

3. Malezi ya hovyo kwa watoto?

4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?

5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.

Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Namba 4, hiyo watu wanapashana hbr ni tamu na wakicheki mitandaoni mtu anapelekewa moto na mwanaume mwenzake anagugumia Kwa utamu basi Kila mtu anataka ajaribu kama ni tamu kweli, matokeo yake ukijaribu ndo basi Tena unanogewa mazima

Kuhusu kuathiri ndoa za wanawake na wanaume hii imeathiri kweli asa kama wanawake skuizi wanakuwa wapo kimaslahi zaidi, kwanini ndoa zisiathirike wakati utamu wa plan B upo?
 
Wee ni muongo, afu ni versatile, ambaye hujikubali na hali uliyoko.
😂😂😂😂😂😂 huwaga mna tabu kweli. Lol
Sina cha kuficha uzur jf tunatumia id fake kama kuna ukwel ntasema bila hofu namuogopa nan nilichojifunzwa kufirwa ni hisia kama mwanamke anavyotaman kuingiliwa na kwa mwanaume mfirwaji ni hivyo kama hisia hizo unakua unachukia sanaa hata ukiguswa tako kuna hali ndan yako inakerekwa sana kama sio mambo yako yaan kinyaa na kujidhalilisha ukiwa mwaname kwel huwez ukiwa na hisia za kutaman utaingiliwa na hawawez kuacha sababu raha yake ni sawa na mwanaume anavyokojoa ule utam mfirwaj ndio anausikia mda wote hii ni kwa mujibu niliokua nawatembezea moto enz za uhai wangu wa ufirauni
Wee useme ukweli ni Versatile, na umeshaliwa.
Acha kujistukia 😂😂😂😂😂

Kuna Pure Tops wako kwa industry miaka na miaka na hawafanyi role isiyomuhusu.

Nyie mnaingia kwa industry kwa tamaa na vishawishi ndo mnakutana na hayo mazonge.
Poleeeee 😂😂😂😂😂😂
Ndio maana nilisanuka mapema nikatundika daruga nikiwa kijana mdogo kwenye game nilikua najiona tu roho inataka kuniingia nikaomba mungu aniongoze na sala ya toba juu kulikua na mashoga wanamvuto kama james delicious dida wa ukwel na wengine shoga modo kitako flan alafu black beuty mauno kama mwal wa kizaramo
Shoga/ Ushoga(Gays) unajumuisha Wafiraji(Mabasha) na wanafirwa ...full stop....

Wewe ni Shoga Hakuna lugha nyingie
Nikiri ni kwel niliwai kua katika mambo hayo ya kuwatembezea moto ila nimetubu
 
Back
Top Bottom