Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
afadhali maana nilitaka nimwambie nikaona nimwache kwanza
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
sio Rahisi kabisa labda wakiwa wao kwao ndio utakuta wanajisifu sana. Kuna mchizi wangu sana analiwa na ni mtu anaheshimika sana ila tukiwa kwenye jumuiya asubuhi akihubiri anakazia kweli kuhusu hayo mambo ila analiwa na mm najua wanaomla ila akirudi ananiambia hajaliwa.Yaan hata kwa ID fake. Ila Kukiri kuwa umetolewa marinda inahitaji ujasiri sana ππππ.
Tumuelewe tu . Na tushukuru kwa ushuhuda wa hata huo kusema anakulaga wanaume wenzake.
Lamomy kuna jamaa huku tunaweza mtuma kwa Hazsu. Achana na kina Mbaga Jr na secretarybird . Hawa mpaka walewe ndio wafukue mitaro.
Wakat kuna watu wako sober na kaz inaenda.
Hadi wakati mwingine nakuwa naye kwenye Kumbi za starehe najua kabisa wanaomla ila mara zote ananiambia hawamli anawachukulia tu hela.
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Kuto legalize umechukulia mfumo wa ndoa halali?? So far yess haitambuliki, ila wako wanaoishi ktk ndoa hizo japo bubu na gizani na kuna baadhi ya watu wanafahamu hilo.Hawaja legalize.
Ingekuwa inatambulika ndoa za jinsia moja zingefungishwa wilayani.
So far mwanaume anatakiwa aoe mwanamke.
Na ukipatikana na hatia ya kumuingilia mwenzako kinyume na maumbile ni miaka 30 jela. Kikatiba TZ.
Ila Hebu twende taratibu.
Mashoga ni watu na wana haki ya kuishi ndio maana wako mtaani.
Ishu ni lile tendo kufanywa hadharani .
Sasa do you wish watu watambue kuwa hawa ni wanaume na wameoana? Au hawa ni wanawake kwa wanawake na wameoana?. Ndio swali langu.
Na kwanini unawish hivyo?.
ππππ usipanic. Jibu taratibu sasa.
Napenda kivipi?? Sina interest yoyotekwanini hua unapenda haya mambo una interest gani?
Kuto legalize umechukulia mfumo wa ndoa halali?? So far yess haitambuliki, ila wako wanaoishi ktk ndoa hizo japo bubu na gizani na kuna baadhi ya watu wanafahamu hilo.
Ni km vile kwenye hali ya sasa, kati ya ndoa ya mwanamke na mwanaume, si ni kuna ambao hawajaolewa/oa, au wako wanaoishi bila kufuata mfumo wa ndoa halali.
Hatia ya kupatikana ukimuingilia mwenzako kinyume na maumbile, kwa kufuata hiyo katiba ya Jamhuri, kinacho refer pale ni ulawiti na sio ushoga, najua utasema how, nikurudishe kwenye sakata la saka saka ya mashoga ya makonda akiwa Dar RC, Kangi lugola akiwa waziri wa mambo ya ndani, alitoa msimamo wa serikali, na Balozi Mahiga RIP, akiwa waziri wa mambo ya nje alitoa msinamo wa serikali, hizo karudie kuzisoma.
Unasema kuhusu hilo tendo wanalofanya mashoga kuwa hadharani?? Una maanisha nini? Tendo? Yaani (Sex) ? Km ndio hivyo, nikuulize kwani sex kati ya mwanamke na mwanaume inafanywa hadharani?? Hata kwa hali ya sasa? Unless unifafanulie hadharani una maanisha nini, ili twende sawa.
Para ya mwisho, nilijibu kule juu na nilimaanisha,
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.
Sijawahi na siwezi kupanic kupitia mada za namna hii. Ziko ndani ya uwezo wangu afu nazimudu.
Zile 3 ulizotaja juu sio aina, ni Roles au matawi.Hizi ulizotaja ni vichocheo. Aina ni zile 3.
Mm bado nataka kujua. Ww unatetea nini hasa na upande gan uko. Sikuelewag kabisa. Na pia unataka jamii ielewe nn kuhusu homosexual.
.
Ndio hoja yangu.
ee wanaomla wanasema tu fresh ila kila nikiwa naye anasisitza sana kwamba yeye sio shogaNa hao majamaa wengne wanasema wanamla sio?.
Dah balaa sana. Kukiri kuwa huna Linda inahitaj ujasiri mkubwa mnoo.
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.
Sijawahi kumuona mtu adui kisa kapinga ushoga, achilia kuleta mada kuhusu hilo, sio hapa mitandaoni hata huku uraiani/mtaani,Pengine ni mtetez. Ila
Anatetea kwa hoja gani?
Ndio Aweke wazi.
Ila sio kila mtu akileta mada ya ushoga cocastic anakasirika na kumuona ni adui.
Km ninavyopenda watu wa jinsia tofauti kuoana wakioana.Unapendaje kuona watu wa jinsia moja wakioana?
Unapendaje kuona watu wa jinsia moja wakioana?
Yes nawish watu/jamii ijue na itambue watu wawili wa jinsia 1 waliopendana kimapenzi kuwa wameoana, yaani ni mwili mmoja, kwa sababu ni haki ya kila mtu kupenda au kuwa na mwenza sahihi amtakae yeye binafsi.
Kuanzisha thread za 'mashoga' pia ni njia mojawapo ya kuupa promo na kusambaza ushoga.Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume na wanawake kwenye ndoa?
Mbona unaniandama sana?? Kulikoniii?cocastic hili halihusiani na Mada hapo juu.
Kwahiyo ww ni Me au Fe?.
Leo useme ukwel..ππππ