Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

Hata mimi natamani kujua.
Ngoja tusubiri wajuzi waje.

images (8).jpg
 
Kwanini wawili hawa walipashana kiasi cha Tuntemeke kuwekwa kizuizini kijijini kwao? Nini hasa ilikuwa sababu ya ugomvi wao?
Issue kubwa ilikua ni Tuntemeke, kusoma Marekani kwa muda mrefu, aliamini kwamba siasa ya Ujamaa ni feki na haiwezi kuleta maendeleo na hakuwa akificha msimamo huo licha ya kuwa mwana-TANU iliyokuwa ikiamini katika Ujamaa.

Tuntemeke alieleza kwamba yeye ndio anafaa kuwa Rais hivyo Mwalimu NYERERE ampishe ili ailetee nchi maendeleo kwa falsafa za ubepari na abadili "mentality" ya wananchi wa Tanzania ambao wengi ni wavivu wapendao kujirusha na kuoneana wivu. TUNTE alidai shahada zake 7 zilimfanya awe na fikra sahihi za kuleta maendeleo kuliko Mwalimu aliyekuwa na shahada mbili tu na muumini wa ujamaa aliouona "unailostisha" nchi!.

Hiyo ilimkera mno Mwalimu ambaye, kwa kutumia "The Preventive Detention Act, 1962", alimsweka mara moja TUNTE kizuizini kijijiji kwake Bulongwa na kumuamuru kutotoka kijijini hapo hadi apate kibali maalumu.
 
Sikuwahi kukijua chanzo haswa ila ilisemekana Tumtemeke Sanga ndie Mtanzania wa kwanza kuwa na degree 5. Aliporudi nchini Mwalimu akamuita na kumuuliza ampangie kazi gani?. Jamaa akamjibu kutokana na usomi wangu, kazi pekee ninayoweza kufanya ni kuwa president wa Tanzania!. Na watu wenye kadigirii kamoja au viwili ni vilaza tuu!. Msomi ni kuanzia degree 3!. "Nchi haiwezi kuongozwa na vilaza wakati wasomi tupo!"...kosa!.
P
 
Alikua na dharau kumbe...
 
Issue kubwa ilikua ni Tuntemeke, kusoma Marekani kwa muda mrefu, aliamini kwamba siasa ya Ujamaa ni feki na haiwezi kuleta maendeleo na hakuwa akificha msimamo huo licha ya kuwa mwana-TANU iliyokuwa ikiamini katika Ujamaa.

Tuntemeke alieleza kwamba yeye ndio anafaa kuwa Rais hivyo Mwalimu NYERERE ampishe ili ailetee nchi maendeleo kwa falsafa za ubepari na abadili "mentality" ya wananchi wa Tanzania ambao wengi ni wavivu wapendao kujirusha na kuoneana wivu. TUNTE alidai shahada zake 7 zilimfanya awe na fikra sahihi za kuleta maendeleo kuliko Mwalimu aliyekuwa na shahada mbili tu na muumini wa ujamaa aliouona "unailostisha" nchi!.

Hiyo ilimkera mno Mwalimu ambaye, kwa kutumia "The Preventive Detention Act, 1962", alimsweka mara moja TUNTE kizuizini kijijiji kwake Bulongwa na kumuamuru kutotoka kijijini hapo hadi apate kibali maalumu.
Nyerere bana..
 
Sikuwahi kukijua chanzo haswa ila ilisemekana Tumtemeke Sanga ndie Mtanzania wa kwanza kuwa na degree 5. Aliporudi nchini Mwalimu akamuita na kumuuliza ampangie kazi gani?. Jamaa akamjibu kutokana na usomi wangu, kazi pekee ninayoweza kufanya ni kuwa president wa Tanzania!. Na watu wenye kadigirii kamoja au viwili ni vilaza tuu!. Msomi ni kuanzia degree 3!. "Nchi haiwezi kuongozwa na vilaza wakati wasomi typo!"...kosa!.
P
Hahahah..

Huyu jamaa angesema haya kwa jamaa yetu mmoja aliyetutoka asingevuta pumzi hii ya dunia masaa matatu baada ya kuitoa hiyo kauli.
 
Sikuwahi kukijua chanzo haswa ila ilisemekana Tumtemeke Sanga ndie Mtanzania wa kwanza kuwa na degree 5. Aliporudi nchini Mwalimu akamuita na kumuuliza ampangie kazi gani?. Jamaa akamjibu kutokana na usomi wangu, kazi pekee ninayoweza kufanya ni kuwa president wa Tanzania!. Na watu wenye kadigirii kamoja au viwili ni vilaza tuu!. Msomi ni kuanzia degree 3!. "Nchi haiwezi kuongozwa na vilaza wakati wasomi typo!"...kosa!.
P
Mzee alijiamini!
 
Kwanini wawili hawa walipashana kiasi cha Tuntemeke kuwekwa kizuizini kijijini kwao? Nini hasa ilikuwa sababu ya ugomvi wao?
Kuna mdada alikuwa ana date na mkuu, Tunteneke naye alikuwa anafukuzia goma hilohilo, Mkinga alikuwa na degree 7 Mzanaki 2, kamaa akabeba demu.

Akaambulia kuwekwa kizuizini Bulongwa na hakuruhusiwa kuingia tena jijini Dar
 
Heshima kitu cha bure, jifunze kuheshimu watu hata wakiwa kifoni, na kumsingizia marehemu uongo na uzushi wa udhalilishaji ni sawa na the consecration of the dead, karma yake ni Kali!. Mwalimu alikuwa mcha Mungu sana, haiwezi kujihuisha na vitendo hivyo vya aibu.
Tubu.

Ni kweli kabisa mkuu,haya middle class wa kitanzania wa sasa hata mada muhimu inayotakiwa kujibiwa kwa facts na kujadiliwa kwa uwazi wa ukweli wanaleta utoto wa kishenzi,wote hawa wametangulia mbele ya haki na hawana uwezo tena wa kujibia tuhuma kama hizi za kukosa ustaaarabu,namkumbuka mno Mh.T.M.N.Sanga(rip)wakati wa mijadala ya Bunge pale Karimjee Hall,kichwa hiki kikisimama kuongea nje ya ukumbi kila mtu kimya na Bunge zima kimyaaa,missing big time kipindi kile
 
Back
Top Bottom