Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

Ni kweli kabisa mkuu,haya middle class wa kitanzania wa sasa hata mada muhimu inayotakiwa kujibiwa kwa facts na kujadiliwa kwa uwazi wa ukweli wanaleta utoto wa kishenzi,wote hawa wametangulia mbele ya haki na hawana uwezo tena wa kujibia tuhuma kama hizi za kukosa ustaaarabu,namkumbuka mno Mh.T.M.N.Sanga(rip)wakati wa mijadala ya Bunge pale Karimjee Hall,kichwa hiki kikisimama kuongea nje ya ukumbi kila mtu kimya na Bunge zima kimyaaa,missing big time kipindi kile
Sidhani kama unakosa 55+ nikusalimu tu, Baba shikamo.
 
Umefanya kosa sana kumuita huyo mzee mdini..utashangaa analeta story za babu zake akina duly sykes...bila kutaja uislamu na kuupunda ukristo kwake historia haijakamilika.

Hopeless kabisa..yule mzee kilizi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee huyu jau sana. Daily ni abdul Sykes na uislamu [emoji706][emoji1005]
 
Na baada ya haya na kuwekwa kizuizini nyumbani kwake iliishia wapi? Tuntemeke Sanga je bado yupo hai?
Nadhani alitolewa kizuizini ila sijui alitolewa wakati gani. Wakati wa Mwinyi alikuwa mbunge. Ameshafariki.
 
Siku moja bunge lilipokuwa pale Karimjee Hall, Dar Es Salaam, Mh. TUNTE alitinga na suruali ya "jeans" na shati la kitenge. Maofisa wa bunge hawakumruhusu kuingia ndani kwani hilo halikuwa vazi rasmi la bunge. Mh TUNTE akaondoka lakini akarudi na shati zuri lilishonwa kiwanda cha Nguo Urafiki lakini akiwa amevaa kaptura! Walinzi, kwa mara nyingine, wakamzuia lakini hakukubali hivyo ukazuka mtafaruku wa "kufa mtu"!. Mh Spika, ADAM SAPI MKWAWA alipoingilia kati, Mh TUNTE alimjia juu na kutaka amuoneshe Kifungu cha kanuni alichovunja. Hatimaye ilibidi arudi nyumbani!.

Mh. TUNTE kuna wakati alipewa dakika 15 tu na Mh Spika PIUS MSEKWA aongee lakini akazisisha na kutumia dakika 30. Mh. MSEKWA alipomtaka akae, Mh TUNTE, aliyemzidi Mh. MSEKWA miaka 5 kiumri, alihamaki na kusema- " "Hivi kwenu hakuna Wakubwa? Huoni mambo niyaongeleyao ni muhimu kwa wananchi wetu?" . Ukumbi mzima wa bunge ulizizima kwa vicheko na hata Mh MSEKWA mwenyewe aliangua kicheko na hatimaye Mh TUNTE akakaa!—Michuzi Blog
🤣🤣🤣
 
Kuna mdada alikuwa ana date na mkuu, Tunteneke naye alikuwa anafukuzia goma hilohilo, Mkinga alikuwa na degree 7 Mzanaki 2, kamaa akabeba demu.

Akaambulia kuwekwa kizuizini Bulongwa na hakuruhusiwa kuingia tena jijini Dar

Sio kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom