Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

Uongo huwa una expire time…

umemsikia Jaji Mstaafu Mihayo wiki hii kwny maadhimisho ya wiki ya Mahakama akielezea kuachiwa huru kwa Babu Seya mtu ambae yeye ndie aliemhukumu Kifungo cha Maisha?

Hata ile story ya first brother kukamatwa china hadi Babake akaenda kwa siri bado haija expire kichwani kwako?


Dkt. Ulimboka
 
Jamaa alizurumu Sana mashamba na Mali za wananchi huko Kwao na mbeya

Jamaa aliwatapeli mpaka askari walikamata ka Land Rover kake
 
Jamaa alizurumu Sana mashamba na Mali za wananchi huko Kwao na mbeya

Jamaa aliwatapeli mpaka askari walikamata ka Land Rover kake
Kwahiyo matendo na matukio hayo ndio yalipelekea kutofautiana na Mchonga?
 
Ungefanya vyema kulisummarise Hilo gazet siyo wote wanaona kilicho andikwa
 
Ulichoquote ni uongo mpaka kiwe na expire time?
 
Na baada ya haya na kuwekwa kizuizini nyumbani kwake iliishia wapi? Tuntemeke Sanga je bado yupo hai?
 
Mdomo mali yake aliitumia kuwasilisha mawazo yake.
 
Asante kwa darasa
 
Hahaahahah
 
nilifika bulongwa na kuona nyumba aliyokua anaishi huyu mwamba kwanza alijenga mwenyewe kwamkono wake mwenyewe kikubwa ujue kwamba inahandaki ndani ukiingilia mlango huu unatoke mwingine ,nilicheka sana
 
jaji mihayo alisemaje? nilipitwa na hii
 
Hakuna mtawala hasa wa Africa .. anatawala bila kutumiaa mkono wa chuma..

Sema tofauti Ni kwamba wengine wanafanya kwa Siri Sana na wengine yanajulikana!

Kuna raisi anasifika Sana humu lakini anaongoza kwa kutia saini za kunyongwa!
 
nilifika bulongwa na kuona nyumba aliyokua anaishi huyu mwamba kwanza alijenga mwenyewe kwamkono wake mwenyewe kikubwa ujue kwamba inahandaki ndani ukiingilia mlango huu unatoke mwingine ,nilicheka sana

BULONGWA ndio wapi?
 
Siamini sana karatasi ya degree inaweza kuongoza nchi. Wkt wa machifu walikuwa wanaongoza na maendeleo yalikuwa ni makubwa sana. Sidharu degree maana hata mimk ninzo mbili toka vyuo maarufu duniani. Uongozi bila hekima, busara na kusikiliza watu wanasema nini na nini umafanya kuwaletea maemdeleo hata una degree kumi haisadii. Nenda wizarani kuna wenye degree wengi lakini matokeo ni kidogo sana. Hivyo hatuhitaji degree tu na fikra hizi zinatufanya tushindwe kusonga mbele sana
 
Pia nasikia kuna Mbunge kutoka Tabora alitaka Nyerere apigiwe kura kwa kushindanishwa na mtu mwingine na sio kivuli.
 
Huyu Sanga angeweza kuishia kuwa kama dikteta Mugabe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…