Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.

Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
 
Wana akili Sana, hakuna tapeli au mwizi boya hata siku moja. Wako talented, huwezi kuwafananisha na CCM wanaoiba Kura kwa kutumia Polisi
 
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.

Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Nigerians Kila kitu Wanachokifanya hufanya seriously. Akiwa Mwizi basi anakuwa mwizi kweli kweli, akiwa anasali basi anasali kweli kweli, akiingia kwenye ushindani atashindana vilivyo.
Kwasababu tabia mbaya huwa inasikika zaidi ya nzuri ndiyo maana tabia zao mbaya husikiaka sana Duniani. Ila Nigeria Kuna wafanyabiashara wakubwa wengi, wanamuziki mashuhuri wengi, wasomi wabobezi wengi n.k , hata kwa uchumi, Nigeria inaongoza Afrika, mbele ya RSA.
 
West Africa na DRC na sisi Tanzania pia tumo sema ile know how ndio mgogoro.

Nchi yoyote yenye ukosefu mkubwa wa ajira kama India lazima matapeli wawe wengi.
 
Jana tu nimetumiwa ujumbe kutoka Nigeria nikasema kinachofuatia watanihack nikablock

Hao sio matapeli tu bali wengi wao ni wezi hasa. Mpe Shirika la serikali aliongoze uone wanavyoiba, hapa tz wakasome

Nigeria kwa mafuta iliyo nayo ingetakiwa kuwa tajiri sana lakini wengi mafukara sbb viongozi wanaiba sana. Ina matajiri wa mchongo
 
Huko Nigeria sio viongozi wa dini wala raia wote matapeli tu. Haya mambo ya unabii feki yameanzia huko kwao na huko wachungaji ni matajiri wa kutupwa huku waumini wakiwa hohe hahe

Lile taifa ni kama lina laana fulani hivi si bure.
 
West Africa na DRC na sisi Tanzania pia tumo sema ile know how ndio mgogoro.

Nchi yoyote yenye ukosefu mkubwa wa ajira kama India lazima matapeli wawe wengi.
Marekani na Ulaya hamna matapeli ?
 
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.

Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Ni result of un-employment. kule elimu yao iko quality but ajira ni finyu mno in relation to population yao, so wengi wanaput in use kwa mambo mengine
 
Risk taker wale wako kila sekita na wanafanya vizuri mno, Kwemye michezo wamo vizuri mno njoo kwemye mziki sasa, njoo kwemye Dini, njoo kweneye Biashara, njoo kwenye utapeli.

Wa nigeria kile kitu anacho kifanya hukifanya over serious, angalia wacheza move wao linganisha sasa na hawa Bongo movie.

Huwa nawafuatilia sana kwenye ile Nailaland Forum yao, kuna vitu huwa najifunza kutoka kwao.
 
Ni result of un-employment. kule elimu yao iko quality but ajira ni finyu mno in relation to population yao, so wengi wanaput in use kwa mambo mengine

Kukuta House girl ana Masters ni jambo la kawaida kabisa Nigeria, sasa piga picha haouse girl ana Masters, huwezi muletea ujinga ujinga.

Na wa Nigeria wako very agresive sana
 
Changamoto zilizopo nchini mwao zimewafanya wafikiri nje ya box, bongo tunaelekea huko soon
 
Back
Top Bottom