Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Utapeli wao wanafanya wapi?Sijaona Mmarekani akienda kufanya utapeli Kenya au South Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli wao wanafanya wapi?Sijaona Mmarekani akienda kufanya utapeli Kenya au South Africa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijaona Mmarekani akienda kufanya utapeli Kenya au South Africa.
They're just hustlers and nothing more, kama ulimaliza chuo na kuajiriwa hauwezi kuelewa ninachomaanisha. Tunaishi nao na tupo nao kwenye mapambano, akili zao ni za kawaida kabisa ila aggressiveness na network yao(hakuna nchi duniani ambayo haina Nigerians hata visiwa vidogo vyenye population of less than five hundred thousand) ni kubwa mno, hawaogopi jela wala kufa wakati wakiwa kwenye utafutaji.💪💪Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
🤣🤣🤣🤣🤣Utapeli wao wanafanya wapi?
Wako very smart.Changamoto zilizopo nchini mwao zimewafanya wafikiri nje ya box, bongo tunaelekea huko soon
Wa Nigeria wanakadiriwa kuwa milioni 225, katika nchi yenye eneo kama Tanzania ambayo haina ardhi nzuri kama Tanzania.Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Wako wengi na utapeli wao ni wa kiwango kikubwa sana tofauti na matapeli wa kutoka Africa, white-collar crime Africa iko kwa kiwango kidogo sana ukilinganisha na kwenye mabara mengine.Marekani na Ulaya hamna matapeli ?
Nigeria nao wanafyatuana sana, kumbe tumewazidi eneo lakini idadi yao ni karibia mara nne yetu! Hapo lazima nchi iwe na mshike mshikeWa Nigeria wanakadiriwa kuwa milioni 225, katika nchi yenye eneo kama Tanzania ambayo haina ardhi nzuri kama Tanzania.
Tanzania covers around 947,300 square kilometers, Nigeria covers approximately 923,768 square kilometers, making Tanzania marginally bigger.
Wengi hawana elimu rasmi nzuri na wameachwa nyuma sana na serikali yao.
Unategemea nini hapo kama si utapeli?
Hata sisi tubaelekea huko huko.
Wamesoma sana kazi ya kuajiriwa hamna.Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Wapo, hata Tanzania huwa wanaokuja wanapiga wanasepa. Baadhi huwa wanakamatwa ila network zao ni kubwa most of the time huwa hawawi convicted, kama hauishi katika huo mfumo(underworld) it's not easy to know sarakasi za hustling zinavyofanyika.Sijaona Mmarekani akienda kufanya utapeli Kenya au South Africa.
Wapo kwa kiwango kidogo na asilimia kubwa kati yao ni WahamiajiMarekani na Ulaya hamna matapeli ?