Wana akili Sana, hakuna tapeli au mwizi boya hata siku moja. Wako talented, huwezi kuwafananisha na CCM wanaoiba Kura kwa kutumia PolisiRaia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Hapo ni kufoc life tyuuh.Niliona population Yao tu wako 200 na kitu million daah mara nne yetu
Nigerians Kila kitu Wanachokifanya hufanya seriously. Akiwa Mwizi basi anakuwa mwizi kweli kweli, akiwa anasali basi anasali kweli kweli, akiingia kwenye ushindani atashindana vilivyo.Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Wabongo ni wabunifu kwenye uharibifu na sio ubunifuWest Africa na DRC na sisi Tanzania pia tumo sema ile know how ndio mgogoro.
Nchi yoyote yenye ukosefu mkubwa wa ajira kama India lazima matapeli wawe wengi.
Marekani na Ulaya hamna matapeli ?West Africa na DRC na sisi Tanzania pia tumo sema ile know how ndio mgogoro.
Nchi yoyote yenye ukosefu mkubwa wa ajira kama India lazima matapeli wawe wengi.
Ni result of un-employment. kule elimu yao iko quality but ajira ni finyu mno in relation to population yao, so wengi wanaput in use kwa mambo mengineRaia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Ni result of un-employment. kule elimu yao iko quality but ajira ni finyu mno in relation to population yao, so wengi wanaput in use kwa mambo mengine
Changamoto zilizopo nchini mwao zimewafanya wafikiri nje ya box, bongo tunaelekea huko soonKukuta House girl ana Masters ni jambo la kawaida kabisa Nigeria, sasa piga picha haouse girl ana Masters, huwezi muletea ujinga ujinga.
Na wa Nigeria wako very agresive sana