Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Hizo 'bure bure' ndizo laana zenyewe, ndizo zinazodumisha umaskini wa afrika nzima. Wazungu wanajitegemea kwa kukubali kuumia, kukubali kugharamia miradi yao mbalimbali wakiwa wanajinyima matanuzi wanayoyapenda.Kwa hiyo makamba ni mwakilishi wa rais kwenye mambo ya kuwaumiza wananchi upande wa umeme?
1. Kutoka 27,000 ya kipindi cha Kalemami na Magu,mpaka laki 320,000 kipindi hiki cha mwakilishi makatani. Kuingiza umeme
2. Kutoka bure kipindi cha Kalemani na Mag mpaka unyang'anyi wa elfu 1 wa unapojaza umeme kipindi hiki cha mwakilishi makatani
3. Kutoka 0.01% kukatika katika umeme kipindi cha Kalemani na Magu mpaka 52% ukatikaji umeme kipindi hiki cha mwakilishi makatani
4. Nasikia wako mbioni sijui wameanza. (Wanafuta matumizi madogo. Mfano ukinunua umeme wa 9000 ilikuwa unapata unit 75 kwa sasa unaweza kupata hata unit 20 tu kwa pesa hiyo kipindi hiki cha makatani
Huo ndio utofauti uliopo utendaji wa makatani
Wazungu wanafundiswa kubana matumizi, anaweka pesa fulani kila mwezi ili mwakani wakati wa jua kali aweze kwenda kutazama mazingira ya afrika au australia.