Inauma kweliMsukuma ana hoja, Tanesco na makamba wote Ni wababaishaji.
Kuna wapuuzi wanashangilia Hali Hii inayoendana wakati uchumi unashuka[emoji3525]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma kweliMsukuma ana hoja, Tanesco na makamba wote Ni wababaishaji.
Kuna wapuuzi wanashangilia Hali Hii inayoendana wakati uchumi unashuka[emoji3525]
Mkubwa, Kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali. Serikali inaundwa na Rais na Mawaziri. Kwa taarifa yako, Bunge lilimvua madaraka waziri Mkuu Lowasa . Bunge likiomba iundwe kamati my friend waziri anaondoka (kama kuna makandokando)Msukuma anajisumbua, Makamba ni mwakilishi wa Rais katika Wizara husika sasa kumshambulia ni kutaka chokochoko nyingine kwa aliyemteua.
Hoja za Msukuma hazina mashiko zaidi ya mashambulizi personal - huyu aingie kwenye vikao vyetu vya chama tumuweke sawa maana tukimwacha atazidi kupotosha umma wa watanzania kuhusu mradi huu nyeti.
Msukuma shikilia hapo hapo usiachieHelaa tamuu.
View attachment 2121643
Msituletee hisia za ukabila hapa. Umeme sio wa Wasukuma .Umeme ni faida kwa wote. Kwa hiyo unamtetea Mtanga mwenzio?Kwa kifupi sana, Msukuma yuko nyuma kumtetea Kalemani msukuma mwenzie na Marehemu wao katika jaribio la kuonyesha kwamba Waziri Makamba si lolote wala si chochote ndio maana Magufuli alimwachisha uwaziri na kwamba Kalemani ndio alikuwa Waziri bora kwenye hiyo wizara. Waziri Makamba nae amekuja na facts na figures muhimu kwetu sote na pia kumjuza Msukuma & company kwamba huko nyuma propaganda za uongo zilikuwa nyingi - sasa basi na kwamba Makamba yuko nyuma ya Rais wa sasa na ndio relevant. Kwa kuhitimisha, Makamba yuko sana tu na atakuwepo. Msukuma yuko vilioni bado, mithili ya Ndugu yetu Polepole.
Sawa, na sisi ambao sio wasukuma na tunataka umeme ili kazi ziende mnatusaidiaje?Kwa kifupi sana, Msukuma yuko nyuma kumtetea Kalemani msukuma mwenzie na Marehemu wao katika jaribio la kuonyesha kwamba Waziri Makamba si lolote wala si chochote ndio maana Magufuli alimwachisha uwaziri na kwamba Kalemani ndio alikuwa Waziri bora kwenye hiyo wizara. Waziri Makamba nae amekuja na facts na figures muhimu kwetu sote na pia kumjuza Msukuma & company kwamba huko nyuma propaganda za uongo zilikuwa nyingi - sasa basi na kwamba Makamba yuko nyuma ya Rais wa sasa na ndio relevant. Kwa kuhitimisha, Makamba yuko sana tu na atakuwepo. Msukuma yuko vilioni bado, mithili ya Ndugu yetu Polepole.
Mkuu, unachanganya sana madesa, yule aliyemsifia Magufuli ni mkurugenzi wa Kahama, wa Geita hadi leo hajarudishwa kazini mkuu; usichanganye mafaili! Bado nauliza, ni lini Msukuma aliwahi kumuongopea mtu kwa kumuonea? Kwenye issue ya umeme, January kachemka, hata kama tunampenda but pale kaingia mkenge. Ningekua karibu nae ningemshauri ile wizara asingeikubali, wizara ile haiwafai watoto wa mjini, watoto wa mjini wanapenda sana pesa, pale panaua ndoto zake za urais kabisa. Kibaya zaidi majibu alioyatoa ni mepesi mno kulinganisha na issues alizo raise bwana Kasheku Msukuma, Msukuma alijikita kwenye issue ya umeme na bwawa la mwalimu Nyerere, January aka personalize jambo!Sio mara moja au mbili Msukuma ni mtu wa fitina!! Nakupa mfano pale alipomchongea Mkurugenzi wa Geita juu ya ununuzi wa gari na Jiwe akamtolea nje kwa kumsifia yule mkurugenzi wa halmashauri; amerudia tena kumchongea kuhusu matumizi ya fedha za UVIKO kujengea madarasa na uchunguzi umeonesha kuwa Msukuma ni msaga kunguni tu kwani mkurugenzi yuko ofisini anachapa mzigo!!
😆😆Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Sio kweli ni DED wa Geita ktk jimbo la MsukumMkuu, unachanganya sana madesa, yule aliyemsifia Magufuli ni mkurugenzi wa Kahama, wa Geita hadi leo hajarudishwa kazini mkuu; usichanganye mafaili! Bado nauliza, ni lini Msukuma aliwahi kumuongopea mtu kwa kumuonea? Kwenye issue ya umeme, January kachemka, hata kama tunampenda but pale kaingia mkenge. Ningekua karibu nae ningemshauri ile wizara asingeikubali, wizara ile haiwafai watoto wa mjini, watoto wa mjini wanapenda sana pesa, pale panaua ndoto zake za urais kabisa. Kibaya zaidi majibu alioyatoa ni mepesi mno kulinganisha na issues alizo raise bwana Kasheku Msukuma, Msukuma alijikita kwenye issue ya umeme na bwawa la mwalimu Nyerere, January aka personalize jambo!
Makamba ana mizizi ndani ya CCM na inakuwa rahisi kupelekeshana na Msukuma wakiwa wabunge wa chama kimoja.Makamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
nchi ndio maana haendelei kwa fikra kama hizi zako, so tuendelee kukaa giza huku tukiamini watoto wa mjini ndio waelewa kutuzidi sisi tuliokulia vijijini ?January ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
hapa tunajadili hoja hatumjadili mtu, lengo la uzi ni je hoja za Musukuma zimejibiwa ipasavyo na makamba ?Musukuma is low brain anayetaka kujionesha kuwa ana akili kubwa.
ninachoipendea CCM ni chama kinachowajua watanzania wengi mfano wewe hapo ndio maana wanapeana vyeo kwa kupendeleaKuna watu huwa ni washamba na waganga waganga , sasa huwa wanajisahau kama wametumia uganga uganga kufika walipo..Ndumba, utapeli, unafiki, ushamba wa kijinga, wizi mitaani ndio maisha ya baadhi ya watu..
Kuna watu wametoka royal family, wamekuzwa vizuri na kulelewa kwenye mifumo, vichwa vyao vimetulia na hata malezi yanaonekana sio mabaya.. lakini pia watu wengi wa hivi hawana mihemuko zaidi ya utulivu na tafakari.m
Mkuu punguza CHUKI hazita kusaidia katu abadaniMakamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
Mkuu punguza CHUKI hazita kusaidia katu abadani
Naheshiu sana maoni ya kila mmoja lakini haya yako sio maoni ni chuki binafsi
Mkuu umetisha,na uzi ufungweYaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Kama tu kuulizwa maswali ya sekta iliyoko chini ya wizara yake anaona ni chuki au watu hamtakii uwaziri au watu wanamchukia Rais, sishangai mashabiki wake mkiona haya maneno ni chuki.Mkuu punguza CHUKI hazita kusaidia katu abadani
Naheshiu sana maoni ya kila mmoja lakini haya yako sio maoni ni chuki binafsi
Makamba ni mhuni na tapeli kama walivyo matapeli wengine. Amekuta hatuna matatizo ya umeme keshayaanzisha tena. Sasa anajitetea kwa kumuweka Rais kwenye upumbafu wake. Ngoja tume iundwe abaki uchi.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Wanachofanya Makamba na Msukuma ni siasaKama tu kuulizwa maswali ya sekta iliyoko chini ya wizara yake anaona ni chuki au watu hamtakii uwaziri au watu wanamchukia Rais, sishangai mashabiki wake mkiona haya maneno ni chuki.