Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
πππππππYaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππYaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Bado nakubaliana naye kwamba hamuwezi kumhukumu kwa miezi minne tuu, pia uchakavu wa miundombinu hilo halina ubishi, Jana hapa Mpanda imepiga radi moja tuu umeme umekata zaidi ya masaa 12.Wewe unataka kumtetea Makamba inaonekana.
Ni nani anafurahia utendaji wa Makamba? Utendaji ni kukata umeme kwa visingizio lukuki? Walisema maji, Mungu si Athumani, akaleta mvua. Sasa ndio wakaja na visingizio vya maintanance.
Anataka apewe miaka 4 kama vile ndio tumepata uhuru? Kwanini anataka kukata connection ya regime hii na nyingine?
Serikali haikatiki.
Halafu anadhani kila mtu anapenda madaraka kama yeye. Akiulizwa wajibu wake, anakimbilia kwenye madaraka.
Awajibu. Hakuna wa kudumu kwenye siasa.
Hakuna mwenye hati miliki ya uongozi. Uongozi ni dhamana.
Wivu huu, roho mbaya ya kisukuma!Makamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
Msukuma hana ushahidi wa kitaalamu,hana sifa za kujadiri nishati sijui kama hata alisoma basic Physics fundamentals.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Makamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
denooJ hii nchi ni ngumu sana...Inakuwaje Makamba aseme hausiki na jambo linalotokea kwenye wizara yake? is he serious?
Huyu mtu ashukuru anabebwa na jina la baba yake kwenye serikali ya kiongozi asiejielewa.
Ni wivu tuu wa kina Musukuma.Hivi Musukuma akipewa uwaziro wa Nishati leo umeme utaacha kukatika?Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Undezi gani sasa wakati ni hoja yenye nguvu.Mfano mzuri wa vijana wa hovyo ni wewe, watu wanaongelea hoja nzito wewe unaleta undezi.
πππππππ wakolosa ndi kinanani Wagalatia ama?? ππππyaani umechomekea udini lkn nimependa maana umeburudisha piaMakamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
Ni Billion 30 mkuuBilioni 4?? Ni Bilion 70
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Hawagombani bali wanafanya siasa!
Msukuma ni mfanyabiashara.
Wewe kweeli fuso.Msukuma anajisumbua, Makamba ni mwakilishi wa Rais katika Wizara husika sasa kumshambulia ni kutaka chokochoko nyingine kwa aliyemteua.
Hoja za Msukuma hazina mashiko zaidi ya mashambulizi personal - huyu aingie kwenye vikao vyetu vya chama tumuweke sawa maana tukimwacha atazidi kupotosha umma wa watanzania kuhusu mradi huu nyeti.
Kwa hiyo mkuu kwenye kamati alikuwa anafanya nini! Au huyo makamba ni mtaalamu asipoambiwa na watalaam anaowaongoza.msukuma aneeleza vizuri ajibiwe kwa hoja siyo kusema elimu aliyonayo.Msukuma hana ushahidi wa kitaalamu,hana sifa za kujadiri nishati sijui kama hata alisoma basic Physics fundamentals.
Kibaya zaidi hajui anazungumza nini.