baba aaliyah
Member
- Jan 16, 2022
- 7
- 5
Mbunge msomi kuliko wote King Msukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge msomi kuliko wote King Msukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Kwa hiyo haya ndio majibu ya tatizo la kukatika hovyo kwa umeme ?Issue iko hivi
1: Makamba ni anti - JPM
2: Msukuma ni Pro - JPM
Sasa Msukuma bado haamini kama JPM hayupo nasi, anashangaa January ni Waziri wakati alikuwa JPM hampendi, hili ndio tatizo, Msukuma anaishi in the past, aache ukabila na upuuzi, sbb the guy is naturally arrogant..!!
huyu kiboko PhD si habaMbunge msomi kuliko wote King Msukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simtetei Msukuma, wala simlaumu Makamba; nipo interested na mchango wako; naomba kujua ni lini Msukuma aliwahi kuongea UONGO!? I mean ni lini aliwahi kumsingizia mtu (nimesema mtu, sio taasisi au kampuni ). Huaga simkubali sana Msukuma but ningependa kupata proves za when jamaa aliongea uongo kumuhusu mtu.
Msukuma hajui umeme.Kwa hiyo mkuu kwenye kamati alikuwa anafanya nini! Au huyo makamba ni mtaalamu asipoambiwa na watalaam anaowaongoza.msukuma aneeleza vizuri ajibiwe kwa hoja siyo kusema elimu aliyonayo.
Musukuma = Sukuma Gang VS Makamba = Msoga GangKwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
January ni mshamba sana hana uumijini wowoteJanuary ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."January Makamba ni another seti tupu ilioko kwenye system.. huyu na huyo mwingine aliesema aliekatwa makato kwenye simu ampelekee . yaani ma zero fulani hivi yapo kwenye uongozi kwa hisani ya msoga, ila kuna siku kitawaka: wafurahie uongozi kwa sasa. Makamba majibu aliojibu bungeni ni ya kisanii sana ila kwa wapumbavu ndio wanaweza sema kajibu kitu. Cheap politics kwenye mambo ya maana shenzi sana hawa akina kigogo2014 dawa yao iko jikoni.
Msukuma ni mtu asiye na elimu ya kawaida hivyo Mh January ni vizuri ampuuze kama vile yupo Gombe, kuna ajabu gani waziri kukagua miradi akitumia Chopper wakati kuna Ngedere walipanda helkopta kwenda Arusha kwenye ufunguzi wa kampeni za Lowassa?.,wat a f?Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Hakuna ugomvi pale ila January yuko shallow wizara kubwa kuliko uwezo wa akili yake. Yaani musukuma pamoja na elimu yake ya darasa la saba ana akili kuliko Januari. January analazimisha kuonyesha anaonewa au bifu lakini maswali au hoja za mbunge Msukuma ziko very valid. January hata hotuba za Kikwete tu zilikuwa zinamshinda. Sembuse liwizara hilo.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Ki ukweli kabisa kutoka moyoni umesema vema sana. Hata tuseme Makamba vipi. Lakini shida ipo kwa aliyemteua. Hayuko seriously hata kidogo. Rais anatakiwa aone haya kama ni maudhi kwa taifa ila yeye a afurahia tu. Asipochukua hatua kwa Makamba tutajua tu shida ni rais. Siyo JanuariMwenye matatizo ni Mkuu wa nchi na niombe radhi kusema hayupo serious. Rais serious asingeweza kumweka Makamba kwenye hiyo wizara nyeti. Ninacho fikiri ni kwamba amemweka wizara hiyo ili either amsaidie kukusanya hela za kampeni 2025 au kulinda maslahi ya " wawekazaji" hasa wakimarekani.
Siku zote makamba anakuwa mtu wa dharau na ni wa kujisikia na pili tunamjua ni mpinafsi hivo yeye anahisi km msukuma ana mwanika na wakati sii levo yake ki elimu ila mwisho waache wasodoane maana walijua kuwa hupinzani ndo wapingaji wao ila wamegeukiana yetu macho.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.