franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Nafikiri utafiti wako hauna ukweli wowote kabisa. Kwenye jamii za kitanzania ni jambo la kawaida kabisa kukuta kitanda kinalaliwa na watu wawili, watatu hata wanne!! Ukosefu wa makazi bora na umaskini vinapelekea hilo kutokea, ndio maana hata vijana wanapofika chuoni kulala
Kitanda kimoja hawaoni ajabu kwa kuwa ni maisha waliyoyazoea.
Vipi kuhusu bodaboda ambapo mmoja anakuwa nyuma ya mwingine tena sometimes mshikaki au mtula?
Vipi kuhusu kwenye daladala ambapo watu wanabanana zero distance?
kwenye hiace inakuwa ni temporary. ...unashuka kituo kinachofata hamna hata effect ila hii ya kulala semester nzima inawezekana