franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Hivi karibuni inabidi tuzindue SERA ya MAADILI kwa TAIFA maana kama mpaka hawa vijana wanaoenda kusoma Uganda wanakalishwa kwenye mshedude basi ni hatari kubwa sana huko mbeleni tukapata viongozi lege lege mno.