Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Hivi karibuni inabidi tuzindue SERA ya MAADILI kwa TAIFA maana kama mpaka hawa vijana wanaoenda kusoma Uganda wanakalishwa kwenye mshedude basi ni hatari kubwa sana huko mbeleni tukapata viongozi lege lege mno.
 
IFM hakuna kubebana, mleta mada ungefanya uchunguzi siyo unakurupuka. IFM wanafunzi ambao wapo admitted hostel wana vitambulisho vya hostel na ukibainika umefoji kitambulisho huna chuo.

NB: mtu huwezi ingia hostel kama huna kitambulisho hata kama ni mwanafunzi.
 
Tena bora chuo tunabebana kwa economic reasons but O-level MTU anakitand chake bad anatak kubebana.
 
IFM ndo wanaongoza kwa kubebana tena video nimeirusha rahatupu.com kwa anaetaka kuona jinsi wataalamu wetu hawa wakipeana samadi/mboji bila woga.

Tunaelekea wapi jamanii?
 
Hivyo vyuo ulivovitaja swadakta kabisa na huo ndo mchezo wao, over
 
Nafikiri utafiti wako hauna ukweli wowote kabisa. Kwenye jamii za kitanzania ni jambo la kawaida kabisa kukuta kitanda kinalaliwa na watu wawili, watatu hata wanne!! Ukosefu wa makazi bora na umaskini vinapelekea hilo kutokea,

ndio maana hata vijana wanapofika chuoni kulala Kitanda kimoja hawaoni ajabu kwa kuwa ni maisha waliyoyazoea.

Vipi kuhusu bodaboda ambapo mmoja anakuwa nyuma ya mwingine tena sometimes mshikaki au mtula? Vipi kuhusu kwenye daladala ambapo watu wanabanana zero distance? Vipi mahospitalini ambao kitanda kimoja kinaweza kulaliwa na wagonjwa wawili kwa wakati mmoja?
 
Nafikiri utafiti wako hauna ukweli wowote kabisa. Kwenye jamii za kitanzania ni jambo la kawaida kabisa kukuta kitanda kinalaliwa na watu wawili, watatu hata wanne!! Ukosefu wa makazi bora na umaskini vinapelekea hilo kutokea, ndio maana hata vijana wanapofika chuoni kulala
Kitanda kimoja hawaoni ajabu kwa kuwa ni maisha waliyoyazoea.

Vipi kuhusu bodaboda ambapo mmoja anakuwa nyuma ya mwingine tena sometimes mshikaki au mtula?
Vipi kuhusu kwenye daladala ambapo watu wanabanana zero distance?


kwenye hiace inakuwa ni temporary. ...unashuka kituo kinachofata hamna hata effect ila hii ya kulala semester nzima inawezekana
 
kwenye hiace inakuwa ni temporary. ...unashuka kituo kinachofata hamna hata effect ila hii ya kulala semester nzima inawezekana

Jambo mmoja usilolijua ni kuwa siku zote kwenye mahosteli wanaobebana ni watu wanaofahamiana na kuendana kitabia, kwa mfano usafi, ustaraabu nk. Kwenye daladala mtu yoyote anaweza kukaa mbele yako au nyuma yako na mkabanana vilivyo.

Kwa mfano hai,
1/Kuna siku nilimwona mama mmoja akishuka kwenye daladala huku nguo yake kwa nyuma ikiwa imechafuliwa na manii, alilalamika na kulaani sana abiria aliyekuwa karibu naye.

2/Kuna siku nyingine pia nami nilipanda daladala mbele yangu akasimama mwanamke mmoja akiwa amejiremba na amejariwa makalio barabara, nilishangaa akinibanana sana kwa makalio yake pasipo sababu ya msingi mpaka nikajihisi vingine, mwisho nikapata siti na kukaa, hafla nilimwona akisononeka na akitamani niendelee kusimama nyuma ya makalio yako!!
 
Mie ni amini kama mtu ni shoga ni shoga tu haiusiani na kubebana vyuoni.

Maana kama hiyo ndiyo sababu ninahisi hivyo vyuo zaidi ya 98% wote wangekuwa mashoga au wasagaji ila kama wenye vitendo hivyo hawafiki hata 1% ya chuo kizima hauwezi kusema tabia ya kubebana ndio imechangia hili ila ni kuwa hao watu walitokea toka huko kwenye level za chini wakiwa wanatoana samadi au kusagana
 
Mapunga ya kutosha yamezagaa makazini, yanahitaji mipini tu. Huku kubebana hostels kumeleta mambo hasa.
 
Kama watu n mashoga n mashoga tu cyo kubebana ndo chanzo
 
Huko makazini yamejazana hasa mabenki mimi ninawajua wengi wapo NMB Bank House (Posta), KKKT Azania Front na wengine wapo mpaka baadhi ya taasisi nyeti (majina kapuni)
 
wengi ni kitu cha kawaida toka tunakua si ajabu kukuta kitanda kimoja wanalala watu watatu wa jinsia moja.

afu unatakiwa kujua ushoga ni tabia ya mtu kama wewe una element za ushoga hata ukilala peke yako utatamani ukalie shaft tu.
 
Kubebana haisababishi mtu kuwa shoga ila ushoga ni tabia ya mtu tu tangu huko alipotoka.
 
Back
Top Bottom