Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
naaam.
umeitwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naaam.
umeitwa
Ofcoz wala me coni problem yoyote
kuongolea hela ndio imekuwa nongwa?
Watu wanaingia vyuoni wakiwa na hizo tabia sugu tena hana shida hata na mwanafunzi mwenzie anaenda tafuta wakumpa dollar huko mbele kwa mbele...mtu anaingia chuo kitako kishabinuka siku nyingi
Hivi hayo ni ya kweli mkuu? Na yanatokeaje huko mpaka wakawa namna hiyo? Ila mimi hofu yangu kubwa ni kuwa hawa ndio watu wa kuwa wabunge, mawaziri na watendaji wengine baadae, ndio hawa siku moja watakuwa wengi wa kutosha kuweza kuibua hoja za aibu kama ndoa za jinsia moja katika jamii ya watanzania!
Sijui yanatokeaje sababu ila zinaweza kuwa nyingi mazingira,malezi,maamuzi n.k