Kwa mtazamo wa mtoa mada!!
Kuna kijiukweli ila katika upande mmoja wa shilingi na maanisha wanawake kuwa wasagaji, yap! Kwa wanawake ni kama 50% wanaweza kuwa wasagaji hata kama sio kwa kufanya ila hata ile ya kimahusiono ya karibu, kwa wanaume ukweli unaweza kuwa -0.00001 , hii ni kutokana na hulka za wanaume wa kiafrika na mila na tamaduni za kiafrika, kwanza nimarachache kuwa kuta boys wana kumbatiana na kupigana kiss, ila kwa wanawake ni kama kitu cha kawaida mpaka wanaitana wapenzi( kutokana na findings hizo sources ndogo inaweza kuwa activate na kudondokea kwenye usagaji...
Nb. Mashoga wengi tz wanatokea zile familia bora na sources zao ni kutoka kwa walezi wao(wale ma babysitter) na zile shule za boarding wanazo pelekwa tangu wakiwa chekechea!!!
Mwisho
Siku njema