Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Sidhani kama kuna ukweli wowote, kama ndivyo basi asilimia 70 ya kaka zako unaowaona wenye umri wa above 35 wangekuwa mashoga, maana wengi wamesoma boarding schools.

Ni asilimia ndogo sana ya watu wanaoanza ushoga wakiwa chuoni, umri huo mtu anakuwa ameshajitambua, ukijaribu kumshika kiuno tu utaona mtiti wake, achilia mbali kumgusa tak.o!
 
Kama umefanya utafiti katika hilo tuko pamoja, ila kama unaongea kwa hisia zako tu kwa kuona wawili watatu wenye tabia hizo basi hapo naweza kukutafutia jina ambalo hutalipenda kwa vyovyote vile.
 
Habarini wakuu.

Nimekuwa najiuliza sana juu ya hawa ndugu zetu, wanaume wenzetu wa kuzaliwa ambao baadae wamekuwa wakijitofautisha na sisi kwa kuamua kuishi na kufanya matendo yaendayo na jinsia ya kike.Je, ni hawajakubali kuzaliwa hivyo, je ni wanafurahi kuwa hivyo, au ni nini sababu hasa.

Tujadili hii wakuu
 
Wengi Wana upungufu wa hormones za kiume '' testosterone.''
 
Hiii inatokana na wazazi wao kula pilpil kwa wingi wakiwa na ujauzitooo kwa hiyo unashauriwa umwambie huyoo dada yako mwenye ujauzito apunguzee kula pilipl
 
Kinachosababisha mtoto wa kiume awe hivo ni makundi anayojihusisha nayo wanasema ukikaa na mwizi nawe utakuwa mwizi au japo vile vichembe chembe vya wizi pia vitakupata na kikubwa ni kumuomba Mungu mana dah kizazi kinaangama kwa kukosa maarifa.
 
there is a thin line between homosexuality and pedophilia.......interms of mental aspects.....
 
  • Thanks
Reactions: Paw
If gays are granted rights, next we'll have to give rights to prostitutes,followed by zoophiles and eventually pedophiles.....
 
Mungu aepushe mbali na vizazi vyetu....full majanga
 
Wangese sana hao.. Kwanini upumuliwe nyuma ni kujiendekeza huko, kama kuna njia za kujizuia kufanya mapenzi tumia hizo hizo kuepuka Ku.to.bwaaah nyuma, pumbaaaavu
 
Wengine ni kutokana na sababu za kimaumbile wanapozaliwa na wengine ni aidha kufuata mkumbo au kuhadaiwa na wenzao wakiwa na umri mdogo. Vile vile wengine wanafurahi kuwa hivyo na ndio maana wanakuwa wazi kwa vitendo hadharani lakini wengine wanafanya kwa siri. Ila kwa kweli tuombe tu Mwenyezi Mungu atunusuru na vizazi vyetu, kwa mimi haipendezi mtoto wa kiume kufanya vitendo vya kike.
 
Back
Top Bottom