Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Kinachosababisha mtoto wa kiume awe hivo ni makundi anayojihusisha nayo wanasema ukikaa na mwizi nawe utakuwa mwizi au japo vile vichembe chembe vya wizi pia vitakupata na kikubwa ni kumuomba Mungu mana dah kizazi kinaangama kwa kukosa maarifa.
ndo anauliza hao wa kwenye hayo makundi imekuwaje kuwaje?