Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Sitaki
Unaleta kiburi sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki
Unaleta kiburi sio?
Ndio...
Ningeshangaa sana usinginejibu hivi, sababu inaonekana leo umeamka na kisirani cha hatari.
Hahahaha nimecheka tu
Nini kimekuvuruga asubuhi asubuhi hii?
Hata najua basi
Umeswali leo?
Yaan nimelala kama pono alfajir imenipita
Hiyo inaweza ikawa moja ya sababu?
Kuna mtu anakudai?
Sidaiwi kabisa
Kuna mtu unamdai?
Ngoja mashoga wa jf waje watueleze kiunagaubaga
Yupo wamejaa kibao
wewe ni bank?
yeah vipi nikupatie nawe mkopo
Haaaah.. Kwani wanawake wameisha?????? mnapata raha gani sasa hata ma.tako hana... Vitofali vigumuuuuuusasa kama wanatoa huduma na waitaji tupo kuna tatzo gani.aibu na familia yake
siamini macho yangu, nahitaji sana hela aisee, 2M. nipe maelekezo duuu.
hebu nipishe