Pole sana!
Ushauri wangu ni kwamba ni muhimu sana mwanao akaonwa na daktari, japo umesema ametibiwa hospitalini bila nafuu! Sasa kwa mtoto wa miezi miwili kuwa na mafua yasiyokwisha kwa dawa nafikiri kuna uchunguzi zaidi inahitajika. Kwa hiyo mpeleke hospital akaonwe na daktari bingwa wa koo, pua na masikio (ENT surgeon) au daktari bingwa wa watoto.
Pole sana.