Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

Elisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
381
Reaction score
662
Habari!

Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima.

Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa.

Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu.

Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje?

Natanguliza shukrani!
 
Pole sana!

Ushauri wangu ni kwamba ni muhimu sana mwanao akaonwa na daktari, japo umesema ametibiwa hospitalini bila nafuu! Sasa kwa mtoto wa miezi miwili kuwa na mafua yasiyokwisha kwa dawa nafikiri kuna uchunguzi zaidi inahitajika. Kwa hiyo mpeleke hospital akaonwe na daktari bingwa wa koo, pua na masikio (ENT surgeon) au daktari bingwa wa watoto.
Pole sana.
 
Ahsante sana mkuu! Ngoja nifanye hivyo! Nashukuru sana kwa ushauri! Mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom