Habari!
Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima.
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa.
Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu.
Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje?
Natanguliza shukrani!