GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Pole sana Berlin storm kwa kadhia hiyo.Nenda duka la madawa- Nunua dawa inaitwa "Iodine Tincture" iko kwenye kichupa kidogo tu, nunua na pamba ukaanze kupaka eneo husika mara mbili kwa siku.
Fanya hivyo kwa wiki nzima kisha uzingatie usafi binafsi wa mwili sehemu hizo kwa kutumia sabuni medicated. Kila la kheri.
Fanya hivyo kwa wiki nzima kisha uzingatie usafi binafsi wa mwili sehemu hizo kwa kutumia sabuni medicated. Kila la kheri.