Dini ya faida kwa mwanadamu ni ile inayohubiri KWELI na HAKi ya Mungu mwenye enzi yote.mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒
inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒
rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Hii haihitaji kuwa Mkristo, Muislam, Mpentekoste, Mhindu, .....
KWELI na HAKI vinajitegemea tangu asili kinyume na hizi dini za kumtweza na kumnyonya mwanadamu kitumwa.
Chukua ile KWELI na HAKI kwenye dini za kikoloni, mengine waachie.