Nini faida ya kumiliki gari?

Na hili limewagarimu waajiriwa wengi sana,
Ndio maana Jenerali Ulimwengu alisema ili uweze kumiliki gari uwe na kipato cha million 7
 
Kweli mkuu, unakuta mtu anapata salary 1m take home, ukipiga mafuta kwa mwezi 250,000/- (Robo mshahara), bado hajala ofisini, familia yake, Kodi
Ndio maana mimi naona kama kipato chako kiko chini ya 3m usimiliki gari.
 
Ilinichukua miezi sita tu kuagiza ndinga Japan nilipopata kazi yangu ya kwanza. Nani anataka kufika job huku nimelowa Kama sio mvua basi jasho. Aisee ndinga ilikuwa ni priority.
Yaani umeanza kazi, ukaanza na Liability (gari)?
 
Hahaha hata mm nasemaga hvyo ila kwa mapato yetu madogo ukisema usubiri upate kipato kikubwa ndio uchukue gari utashangaa unastaafu ndio unaagiza gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…