BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Na hili limewagarimu waajiriwa wengi sana,Unakuta mtu anakatwa anabaki na laki4 unusu kisa mkopo wa ist, lakinne hiyo hiyo ajazie petrol, service, alipe kodi ya nyumba,alipe ada watoto, ajenge, avae, ale ndiyo maana wakati mwingine kwa nyie wenye vipato duni pandeni daladala tu msijifunge tai shingoni inayowaumiza.
Ndio maana Jenerali Ulimwengu alisema ili uweze kumiliki gari uwe na kipato cha million 7