Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mzee anakupa na 1.7mKwahiyo huyu ndio mtoto mkali? Dah!!!.......
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto mzuri kwa pembeni
Faida yake ni kununua mafuta,service,Spear parts n.k. kwa hiyo ujipange. Kila mwezi weka laki 2 pembeni ya emergency la sivyo kuna siku utaipaki au mnada.
Sawa mkuu.Maisha ni nyumba jenga nyumba kwanza ukishindwa sana anzisha biashara ukishindwa kabisaa nunua gari ya biashara sio ya kuendesha ww binafsi.
Mkuu umelenga mle mleAcha wivu Mkuu, maneno yote hayo unayatoa kisa Mzee Juma jirani yako amenunua Gari huku akiwa amepanga...KIBAYA anapita mtaani VIOO VIPO JUU
Weeee he he[emoji16][emoji16][emoji1787]Faida ni moja tu: unakuwa na uhakika wa kupata siti [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa na gari huwezi kosa wese, amini hivoNi sahihi boss lakini gari unaweza kuwa nalo ukakuta halina mafuta unadhan litakusaidia
Gari aina gani? Kama anauza fanya kuni pm mkuu tuongeeKumbuka kuna gari na usafiri. Usafiri upo mpaka wa laki 9. Jamaa yangu kamkopesha mtu pesa kashindwa kulipa kachukua usafiri kwa 1milion. Marekebisho yamemgharimu laki 4, nafikiri anampango wa kuliuza.
Biashara ilisha isha, ilikuwa ni Carina.