Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

Sasa wewe ulitaka bei ya mkulima iwe chini?
Bei ya mkulima iko vile vile chini. Hizi ni bei za wafanyabiashara wanaokusanya vyakula hivi kwa bei ndogo sana kutoka kwa wakulima, na kuvisafirisha nje ya nchi na kuziuza kwa bei kubwa sana au kutumia sisi kwa bei hiyo hiyo. Pia ni bei za wakulima wakubwa kama akina Bashe wenye mashamba makubwa (farmers not peasants) kwa ajili ya ku export. Mkulima (peasant) wetu yuko vile vile. Inabidi tuzuie hawa wafanya biashara walanguzi. Tunaweza kuruhusu wakulima wakubwa tu kusafirisha mazao waliyo yazalisha wenyewe, si yale waliyoyalangula.
 
Si mlidai serikali ya jpm ilikuwa inapika data kwa hiyo na hii ya mama hamyaamini tu
Huo ni utaratibu unaotumiwa na ccm kuhadaa wananchi ili kuonyesha kwamba uchumi unakua sasa walivyo wajinga wanashindwa kuelewa kwamba hali halisi inapingana vibaya na hizo takwimu zao feki.
 
Main cause ya food inflation ni Bashe (mtoa vibali) na Mama Msafiri!
 
Wakulima na sisi tunaongeza bei kama nyie mlivyojiongezea mishahara.
Mvua hakuna hapa nipo njiani natoka biharamulo hakuna hata tone la mvua kabisa hadi nafika singida tutegemee nini na hii miezi ya mvua
 
Back
Top Bottom