Kama uliambulia F zote huwezi kuelewaSlim afanye yake kwa kuwatumia polisi wa Tanzania?? Doesn't make sense
Alimkapa sio?Alimkapa imrani.Mkapa
chakula ya ubongo
Story za vijiweni kiraracha nae alikua Kachero mzuri tuUkiwa kwenye baadhi ya idara lazima ujue maisha yako yote umeapa kutumikia serikali na sio yeyote yule. Sio kabila lako.
Kama kweli marehemu alihusika kupeleka siri kwa mzee wa kiraracha basi alikuwa msaliti. Wababe wa biashara za hatari wanawaita 'rat' wasaliti wa namna hiyo.
Kilimtokea nini naeR.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Alikua Sawa ushushu ndo hatari unaweza Tumwa mission ukiimaliza na wewe unakwenda na maji kufuta ushaidi hatari sanaNdio maana mzee wangu aliwahi kunihusia fanya kaz zote ila nyagu, ujeda na ushushu usifanye. Nikisoma habar km hiz naiona kabisa busara ya mzee wangu. Mungu azidi kumuongezea umri zaid mzee choupa moting.
Ukishaona jeshini umefika kua Mnadhimu mkuu wa Jesh basi kua General ni kugusa hii Nchi ina Mengi nikikumbuka hata Generali Kiwelu 4 star lakini hajawai kua mkuu wa majeshi pamoja na mua GeneraliKuna dhana potofu ya kwamba eti Kombe alizingua kwa kuwa karibu na Mrema
Kombe alikuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ kabla hajapelekwa kuiongoza TISS , alikuwa anamfahamu fika Mrema kuwa ni jasusi wa TISS
Mimi tu achilia mbali Kombe, Mrema hata asingekiri mwenyewe kuwa ni Operative wa TISS na hata asingekuwa RSO nilikuwa binafsi naweza kumtambua kuwa ni TISS kwa nafasi alizoshika nyinginezo wakati akiwa CCM
Na zina kiongozi wake mfano Kuna hawa PSU wana bosi waoNdio,kwenye kitengo kuna idara zaidi ya 4,na hizi idara kila moja ina kazi yake,na haziwajibiki kwa mtu mmoja,
NitapitiaKuna makala imeandikwa kwenye App ya Clubzilla na kachero Fortunatus Buyobe deep kabisa kuhusu sinema zima la huu mkasa wa mauaji ya jenerali Kombe na sababu nyuma yake. Ni vile tu naheshimu Copyright na jasho la mtu ningesema zaidi. Jambo la msingi tafuta usome
Mataba matiku kamugegi
Juma seleman mswa
Hawa walikuwa watekelezaji
Walihukumiwa baadae wakatoka
Nilisha fanya nao kazi pahala around 2016-2020
Ki ukweli wao hawawezi kutoa 100% truth kwaniWatakuwa waliongea ongea vipi ni nani aliwatuma kumuua Luteni jenerali?
Yani unakaa jela miaka 12 kwa sababu ya kutimiza matakwa ya watu, kama siyo kutumika kama kondomu ni nini hiki sasa?Ki ukweli wao hawawezi kutoa 100% truth kwani
Mzee mswa yye always huwa anasema walikuwa kwenye operation zao
Matiku yeye kidogo huwa anasema was directive from above
Wore walikaa jela almost 12yrs